Kukaa na manara kunahitaji moyo wa chuma Ana gubu yeye na ndugu zake as you know wazaramo plus wamanyema,wamama wa kimanyema wa asili ya kukumbatia watoto wao wa kiume kama yai, wazaramo Wana midomo,na yasemekana Haji Sasa hivi ndo mzungu wao wa ukooo hvyooo familia nzimaa yeye ndo boss wanajazana kibaoo!Sasa hakuna Ile privacy ya mke na mume na maamuzi yanafanywa kiukoo Si unajua extended family za wabongo eehh!!
Na Manara anawapenda ndugu zake kufaa yaani Bora aache wake zote but not his family yaani chochote wanachosema familia tawilee na Ana huruma Sana haji kwa kwa nduguze
Sasa Naheeda alishindwa hayo mambo ,maana alikua wakishua uzungu mwingi,ndo maana alikua anatoroka anarudi kwao,yakimshinda,Mara nyingi alikua anatoroka na aliachwa Mara ya kwanza akarudiwa baada ya maneno ya watu Nadhani last year Ile...mwaka huu alovyotoroka Tena ndo Haji akaambiwa akampotezea akaoa rubayna.
Kudumu hapo ngoja tuone wale wazarami watatuliza midomo