Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Mke wa kwanza huwa ni Real Wife upendo ndio uliwafanya wakawa mke na mume,yani mke wa kwanza ndio maana halisi ya upendo.

Tunapokuja kwenye mke wa pili,pale hamna ule upendo kama wa mke wa mwanzo,zile mimi naonaga ni tamaa za mwili kwa mwanaume na mwanamke.

Mwanaume hapa ndio anaweka vigezo vya amtakae,awe vipi,aonekanaje,yani anajichagulia kitu nafsi inataka.

kadhalika na mwanamke nae hakukubaliii tu ila nae kuna vitu vyake kashajiridhisha navyo ndipo anakubali,hvyo sec wife upendo upo kwenye material" hamna ile pure love.

Pure love always ipo kwa mke wa kwanza pale ndio penye chem chem ya mahaba,ila hawa wanaokuja,wote wanakuja kwa kuangaliwa specification zao,Mtu anaangalia RAM ngapi,Storage Ngapi,Android version ipi,nk nk

so ni ngumu sana kukuta mke wa pili na watatu wana sura ngumu kama mke wa kwanza,Wake wote wataokuja ni lazima wawe viwembe ila watakua wazuri,warabu,masingasinga ila Upendo ule wenyewe alieupata ni Mke wa kwanza wengine hamna kitu.
Unataka kusema Bi Hadija ndie aliyependwa sana na Mtume kuliko wake wengine?
 
Pesa zake...alivyo vile halafu awe apeche alolo angempata Nani?
Atawapa sh ngapi labda wewe matajiri hao wanawake ,Yaan kuna yule mkaka anaigiza na mama kimbo yeye ni mzuri au yule albinofulan anaishi Us lakin kila mtu na chaguo lake akiii
 
Halafu sio mara moja ya mwisho ni wiki iliyopita tu hapa kazungukwa na mishoga huku na huko…ila chs kujiuliza hawa mabinti wanaodhalilishwa kwa jina ndoa wana familia kweli au ndo walishakata ringi
Wazazi huwa wanapenda watoto wao waolewe na mtu mwenye uwezo na maarufu sasa
 
Back
Top Bottom