mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Muangalie vizuri Manara usoni utanielewaMkuu, hebu fafanua!
Au Chukulia manara angekua kapuku lakini angepata demu/mke tu.
Wanawake wana huruma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muangalie vizuri Manara usoni utanielewaMkuu, hebu fafanua!
Manara alishakua kapuku sana, zaidi ya kapuku.Muangalie vizur manara usoni utanielewa
Au Chukulia manara angekua kapuku lakini angepata demu/mke tu
Wanawake wana huruma sana
Ushaona mtu tajiri gari zake zote ni za aina moja na rangi mojamoja?Hivi ni kwa nini Waislamu wa Tanzania Mke wa kwanza anayeanza naye maisha anaukuwa mweusi Mwafrika akipata hela kufanikiwa mke wa pili ni mwarabu/nusu Mwarabu na ni Waislamu wote wa Tanzania isipokuwa labda Raisi Shein yeye angalau huonekana na Mke wake wa zamani.
Ushaona mtu tajiri gari zake zote ni za aina moja na rangi momoja..?
Ndio maana nasema wanawake mna huruma sanaManara alishakua kapuku sana, zaidi ya kapuku.
Akaoa wake wawili, akawapeleka magomeni kuishi na mama yake.
Walikuwa wanahudumiwa na mama yake.
Muarabu ili umuoe inabidi akupende mwenyewe au uwe na pesa.Lkn kwa nini isiwe kinyume chake yaani waanze na Waarabu halafu wakitajirika ndio waoe Waafrika weusi ?
Muarabu ili umuoe inabidi akupende mwenyewe au uwe na pesa.
Maisha tunayoishi kama mimi hapa sina connection na waarabu na sina pesa ya kuoa kwa mwarabu kwa sasa kwa sababu inahitaji gharama na akupende kweli...
Uarabu kwangu mimi sio kigezo cha kuoa.OK, kwa hiyo na wewe lengo ni siku moja kuoa Mwarabu ?
Uarabu kwangu mimi sio kigezo cha kuoa.
Nitaoa yule ambaye atanipendeza anaweza kuwa hata zeruzeru maadamu kanipendeza na uwezo ninao.
Anaweza kuwa muafrika maadamu kanipendeza na uwezo ninao
Anaweza kuwa mzungu maadamu kanipendeza na uwezo ninao.
Kwa hiyo ukimwangalia huyo bi harusi unamuona Ni mwarabu au sio?Hivi ni kwa nini Waislamu wa Tanzania Mke wa kwanza anayeanza naye maisha anaukuwa mweusi Mwafrika akipata hela kufanikiwa mke wa pili ni mwarabu/nusu Mwarabu na ni Waislamu wote wa Tanzania isipokuwa labda Raisi Shein yeye angalau huonekana na Mke wake wa zamani.
Wewe ndio mke wa kwanza wa manara nini? Sorry lakini nimeuliza kulingana na unavyojibu NO.Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je manara ana baraka za mkewe mkubwa?
Jibu ni no,
Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,
Kama hivyo ,basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa .,
Mwanamke wa ndoto yangu ni yule ambaye nitamridhia mimi na nitaishi naye kwa upendona urafiki haijalishi yuko vipi.Kwa hiyo hauna upendeleo wa yupi ungependelea zaidi kuoa na kuishi naye? Hauna“mwanamke wa ndoto yako“ aweje ?
Kama nakuumiza vaa chupi yako ondoka.Wewe ndio mke wa kwanza wa manara nini? Sorry lakini nimeuliza kulingana na unavyojibu NO.
So manara na ni tajiri?Lkn kwa nini isiwe kinyume chake yaani waanze na Waarabu halafu wakitajirika ndio waoe Waafrika weusi ?
Acha bangi dogo..Kama nakuumiza vaa chupi yako ondoka.
Mwanamke wa ndoto yangu ni yule ambaye nitamridhia mimi na nitaishi naye kwa upendona urafiki haijalishi yuko vipi.
Mimi nimeshaoa tayari naishi na mke wangu sina mpango wa kuongeza mke nina mpango wa kuongeza pesa tu.
Uyo bi harusi sio Mwarabu ni Mnyeramba kutoka singida na jina lake sio Rubna uyo binti anaitwa Mwanaidi Salum alikua anaishi vingunguti kwa simba sema kajichubua saiviKwa hiyo ukimwangalia huyo bi harusi unamuona Ni mwarabu au sio?
Kweli kabisa Lakin Lakin mke wa pili wa haji manara sio mwarabuMuarabu ili umuoe inabidi akupende mwenyewe au uwe na pesa.
Maisha tunayoishi kama mimi hapa sina connection na waarabu na sina pesa ya kuoa kwa mwarabu kwa sasa kwa sababu inahitaji gharama na akupende kweli.
Ukiwa na pesa atakupenda tu ndio maana watu wanaoa waarabu wakishakuwa na pesa.
Na sidhani kama kuna ubaya kutumia pesa zako kuoa mtu unayemtaka.