Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwenye moja ya picha na muona binti mmoja kama kafanana na Hamisa au nimeona vibaya.Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
Sasa mtu anaoa ili kuwaridhisha jamii, na sio matakwa au kusudio lake, unadhan nn hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mke mmoja wa manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mtu kashachezewa washeri anatoa nguvu wapi?
Ndiee, hapo yupo natural bila makeupHivi kwenye moja ya picha na muona binti mmoja kama kafanana na Hamisa au nimeona vibaya.
Haha acha wivu banaAmeshindwa kudumu na Simba ndo iwe ndoa?
Duu hizi filter za instagram zinaficha mengi, ila Batuli yupo vilevile.Ndiee, hapo yupo natural bila makeup
Batuli unamuona yupo vile vile sababu kavaa heavy make up + kope,Duu hizi filter za instagram zinaficha mengi, ila Batuli yupo vilevile.
Utajri wa mwafrikaAfisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
kasome tena... alafu uje uweke maandishi ambayo hayatoki kichwani kwako bali katika maandikoDini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je manara ana baraka za mkewe mkubwa?
Jibu ni no,
Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,
Kama hivyo ,basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa .,
Kwa lulu hata mie sitaki apake make up, yaan anakua vyedi, kuliko akijilipua na madoido sijui anakuaje hata.Batuli unamuona yupo vile vile sababu kavaa heavy make up + kope,
Hamisa kavaa simple make up na ndio hua anapendeza yeye na Lulu bila Makeup vinakua na sura zao za kitoto kuliko wakijikandika yale matope yanawazeesha.
Dini gani unakusudia inayotaka ridhaa ya mke wa KWANZA?Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je manara ana baraka za mkewe mkubwa?
Jibu ni no,
Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,
Kama hivyo ,basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa .,
NakaziaKuishi na mke mmoja ni kilema
Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je manara ana baraka za mkewe mkubwa?
Jibu ni no,
Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,
Kama hivyo ,basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa .,