Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Kuna mke mmoja wa Manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na Manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
 
Hivi ni kwa nini Waislamu wa Tanzania Mke wa kwanza anayeanza naye maisha anakuwa mweusi Mwafrika akipata hela kufanikiwa mke wa pili ni mwarabu/nusu Mwarabu na ni Waislamu wote wa Tanzania isipokuwa labda Raisi Shein yeye angalau huonekana na Mke wake wa zamani.
 
Dini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.

Je, Manara ana baraka za mkewe mkubwa?

Jibu ni no,

Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?

Jibu ni no,

Kama hivyo, basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…