PreGE2025 PICHA: Halima Mdee ashindwa kuchagua upande, aonyesha alama ya CHADEMA na CHAUMMA kwa pamoja Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
​
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.

Picha na Mwananchi
 
Ni swala la muda tu. Muda utaamua kinywa kitasema. Wacha mitandao ipige kelele.

Nafasi za kugombea zipo ila wapiga kelele wamechagua upande wa kupiga kelele na sio kugombea.
 
Anaenda Chaumma,

Huko CDM wamebaki wabwatukaji wenye hasira na kila mtu..

Wenje anasema CDM ya sasa hata ukionekana unakula kuku utaambiwa unakula Rushwa😂
Na kweli upo cdm unapambana na mafisadi papa nguvu ya kula kuku unatoa wapi bwashee?
 
Maini wa mavuno huu
 
Halima Mdee alifukuzwa Chadema na vikao halali vya Chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…