G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,786
- 4,167
Hakika mkuu, tutapambana kuwatetea wanasiasa waingie Bungeni alafu baadae wanaenda tofauti na matarajio yakoInafikirisha sana. Tuendelee pia na ushabiki wa Simba na Yanga. Siasa za Bongo ni Pasua kichwa.