Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Unatafuta umaarufu JF?Jirani yako
Unatafuta umaarufu JF?Jirani yako
Umaarufu unisaidie nini? Wewe ndiye mtafuta umaarufu tangu wakati wa Mbowe na sasa Unahanja na hao wapyaUnatafuta umaarufu JF?
Labda kama huelewi, hakuna anayeweza kuwa maarufu kwa Id Fake humu JF, Lingine ni hili, hakuna kiongozi aliyepo sasa Chadema ambaye ni mpya, uliza uelekezweUmaarufu unisaidie nini? Wewe ndiye mtafuta umaarufu tangu wakati wa Mbowe na sasa Unahanja na hao wapya
Sumu yake imesambaa CDM na kuwa kansa!Yuko Jela, Kwamba anatoka Ukonga kuja mitaani kuloga watu?
CHADEMA ya Lissu imekua ya umbea,fitina,majungu, chuki na husuda Kali sana! Lissu Ana roho ya kichawi mno!
Hatutaki Malaya wa kisiasa wanaotumika mbele na nyumaAnaenda Chaumma,
Huko CDM wamebaki wabwatukaji wenye hasira na kila mtu..
Wenje anasema CDM ya sasa hata ukionekana unakula kuku utaambiwa unakula Rushwa😂
Hahahahaha! Unajua kunifurahisha mzee wangu, ninayo hiyo na ile Fauta Drome kaifanyia Remix Fauta Djallon, Alafu na Rhumba matata ya Gros Bebe nayo kapiga remix. Huyu mzee Mungu amuweke sanaa anatupa Rubudani ya maana😄Miyeyusho sio kidogo. Nakula Rhumba, kutwa album mpya ya Mopao LP hippodrome, nyimbo za zaman kazifanyia remix. Noma sana Mzee mwenzangu.
Anaenda Chaumma,
Huko CDM wamebaki wabwatukaji wenye hasira na kila mtu..
Wenje anasema CDM ya sasa hata ukionekana unakula kuku utaambiwa unakula Rushwa😂
Kubaki na kuondoka ni hiari,Msiowabwatukaji si mkwendree tu ndugu?
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Makasiriko ya nini sasa?
CDM at its core ni chama cha Kibepari mkuu, hakikuanzishwa kwa ajil ya watu masikini, Kina TL wanataka kuilkifanya chama cha kianaharakati zaidi... Risky for any political party so far..Na kweli upo cdm unapambana na mafisadi papa nguvu ya kula kuku unatoa wapi bwashee?
Sisiemi ni chama cha wizi na kudokoa vya wanyongeCDM at its core ni chama cha Kibepari mkuu, hakikuanzishwa kwa ajil ya watu masikini, Kina TL wanataka kuilkifanya chama cha kianaharakati zaidi... Risky for any political party so far..