LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Sijui kwann kila napowaona hawa watu wawili Halima na Bulaya, najisikia Huruma sana. Naona kama hawako sawa hivi!??
Usikute na wao wanamuonea huruma wakikutana na mtu anayewaonea huruma kama mimi😂
Usikute na wao wanamuonea huruma wakikutana na mtu anayewaonea huruma kama mimi😂