LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Hapa nipale inapomsinda popo kusema yeye ni ndege au mnyama.Ila mimi na jua ni kijani kupitia usajili wa gereji kwa hisani ya shortiii.Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
Kubaki na kuondoka ni hiari,
Mnawakosea sana mnaowambia wakwende...
Whatever the case CDM will never be the same again..
Waliowagombanisha FAM na TL aisee... Wameuweza upinzani
cocastic hv huyu manzi haliki?Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
kwani kuna Uchaguzi gentleman?πMbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
Kweli tupuKubaki na kuondoka ni hiari,
Mnawakosea sana mnaowambia wakwende...
Whatever the case CDM will never be the same again..
Waliowagombanisha FAM na TL aisee... Wameuweza upinzani
Hiyo ya kulia ndiyo first choice yakeMbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
Mie mbona hukunitaja sasa
Mkono wa kuume CHAUMMA na kushoto CHADEMAMbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
Aisee ndo chama pendwa zaid na WA Tanzania CHADEMAAnaenda Chaumma,
Huko CDM wamebaki wabwatukaji wenye hasira na kila mtu..
Wenje anasema CDM ya sasa hata ukionekana unakula kuku utaambiwa unakula Rushwaπ
PandikiziMbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
Acha kuwanga CHADEMA ndo imekua halisi zaidi baada ya hao wapiga dili kuanza kuhama.Kubaki na kuondoka ni hiari,
Mnawakosea sana mnaowambia wakwende...
Whatever the case CDM will never be the same again..
Waliowagombanisha FAM na TL aisee... Wameuweza upinzani
Naam wana saikolojia wako sawa juu ya jinsiaMbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.
Picha na Mwananchi
Kwan FAM na TAL wana ugomvi? Wanagombania nini? Em tujuze waja tupate kujua.Kubaki na kuondoka ni hiari,
Mnawakosea sana mnaowambia wakwende...
Whatever the case CDM will never be the same again..
Waliowagombanisha FAM na TL aisee... Wameuweza upinzani
Kwambaa? ππππNaam wana saikolojia wako sawa juu ya jinsia
Zote mbili sunnaKwambaa? ππππ
Inafikirisha sana. Tuendelee pia na ushabiki wa Simba na Yanga. Siasa za Bongo ni Pasua kichwa.Sanaaa aiseee, bora tuendelee kusikiliza bolingo mzee mwenzangu