Hakika mkuu, tutapambana kuwatetea wanasiasa waingie Bungeni alafu baadae wanaenda tofauti na matarajio yakoInafikirisha sana. Tuendelee pia na ushabiki wa Simba na Yanga. Siasa za Bongo ni Pasua kichwa.
HaaaaaaUnatafuta umaarufu JF?
No politics is serious politics. No country has ever developed by encouraging democracy and politics.Siasa za Bongo ni za kiswahili swahili, kikatuni katuni watu hawako serious sana na maswala muhimu wanafanya maigizo maigizo ili wapige hela tu.

Wewe si tayari au umesahauMie mbona hukunitaja sasa
Naunga mkono hoja hapo kwenye sugu, wenje, na bon yai huyu jamaa hata km ameongea sana siku ile, ila bado simuamini.Unatia aibu ukiwa wapi?