Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Asiyekuwa na mwana afuge mbwa 🏃🏃🏃
Maisha yana changamoto nyingi sana, kuna wanaotamani watoto ila hawapati, kuna wanaotamani kuoelewa ila hawaolewi mpaka wanazeeka, kila binadamu ana uchungu wake,ila hakuna uchungu mkali kama wa kukosa mtoto na unajua kabisa huwezi kupatak,inauma sana.
Point of correction too, mtoto haramu ni yule aliyezaliwa nje ya ndoa period
Yani liko vzuri sio la bibie limetepweta ka mlenda sijawahi ona mwenye mimba akawa na tumbo design Ile aisee
Akhuuu pm naogopa pata mtoto haramu mie....the point hakuna anaependa zaa nje ya ndoa ila pia matusi tunapenda na kutoa tunaogopa tifanyeje!???AHahahah khaa wewe ni nyoko, njoo pm nikutumie hela ya bubdle
Point of correction hakuna mtoto haramu
Tumbo bichi hadi raha, sio tumbo la zari ,kashiba mtori anadaganganya mimba
Umefanya vizur kutotangaza kweny media toka ukiwa na mimba ingekuwa wengine hapo mimba Ina siku moja tu wangelushia hewan na ikiwa na mwezi mmoja had mbinguni watu wangejua na ndy maana na mimba zenyewe wanazaa hewa na kuambulia kujamba tu.
Sijui akizaa mtaficha Wapi sura Zenuu... Nyie mnaangalia kwa Macho wenzenu wameenda Kupima kabisa
hivi unacheza na kiumbe anayeitwa binadamu?? hata akizaa watakuja na jipya tuu ili mradi kunyima mwezao usingizi.
mkuu kumbuka zari if at all ni mjamzito itakuwa ni mimba ya nne, sasa sijui unaanzaje kufananisha na hamisa mimba ya kwanza, msubiri hamisa azae mara tatu alafu utuletee tumbo lake hapa, ndio utagundua zari anamwili mzuri kuwahi tokea.
Binamu nini? Mi nawapenda mbwa wangu, nimewanunulia nguo za gharama nawalisha kama binadamu na kulala nao
Hahahahha weraweraaa mimi ni team MB8 naomba kiti cha Dinazarde kiendeleeAHahahah ahahah ulikuwa wapi siku zote? Nimekupenda bureee, Dinazarde kapata mrithi apa
Naona una bifu na wema si bure.
hahahahahahahahahaaaaasi dharau mkuu
ila simjui ni nani hapa mjini!