Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Asiyekuwa na mwana afuge mbwa 🏃🏃🏃
binamu umeanzaaa, lakini haya maisha hayana usawa kabisa yani, embu ona mtu una watoto watatu na bado unaongezewa, na asiyekuwa na hata mmoja eti mimba inatoka, mxiuuuu!