Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Harusi tamu kuliko ndoa.Halafu binamu si kila mwanamke wa kuolewa......sawa sawa na kwenda mbinguni,wengine ni wa motoni tu

Maisha yana changamoto nyingi sana, kuna wanaotamani watoto ila hawapati, kuna wanaotamani kuoelewa ila hawaolewi mpaka wanazeeka, kila binadamu ana uchungu wake,ila hakuna uchungu mkali kama wa kukosa mtoto na unajua kabisa huwezi kupatak,inauma sana.
 
Sijui anataka kiki au....maana anaona ashasahaulika midomoni mwetu,Lile tumbo mbona kwenye bday ya mapengo halikuwepo??
By the way yeye ni sawa na mzazi aliefiwa nasikia alishakirestisha in peace kitoto cha ze great.

ddduuuuuhhhh
 
AHahahhh binamu mchokoz wewe, ndio hvyo mwenzangu nasikia bibie mbili ilikuwa haikai kutwa kupiga simu kuulizia kwa watu kama kweli, alichanganyikiwaje? Ndomo kasema bora afe kuliko kumrudia wema, eti wema nae anajifanya hamtak diamond ata aje na bilgate mmh masikin anaanza kuugua ugonjwa wa akili

sizitaki mbichi hizi
 
Mimi sio mwanamke lakini nikiangalia tumbo la zari tu najua kabisa sio mimba.

Mastaa wanamnanga uko insta, wanatunisha matumbo yao na wenyewe wanasema wameshiba ugali na maji kwa wingi, hahahah hahahahh

Aiseeee......!!
Ugali na mboga ya serikali
 
Naomba leo nilijibu hili kwa mara ya kwanza na ya mwisho....
sidhan kama kuna mwanamke ambae anatamani kuzaa bila kuolewa
mi kama mie nmezaa kabla ya kufunga ndoa SABABU NI...tofauti ya dini zetu mie na baba mtoto wangu maza akatia ngumu so nifanyeje nimuache?kisa dini???BIG NO i love him i love him i love him sana nkaamua kubeba mimba kabisa na sahv bi mkubwa kaelewa somo inshaalah tuombe uzima mtapewa mwaliko....whatever name mwanangu aitwe awe wa pembeni ya ndoa awe wa katikati to hell I JUST LOVE MY SON MNOOOOO
mi nmezaa before ndoa no one ll ask y sijaolewa sasa we olewa afu usizae ujionee maswali yenye SECTION A, B, C, D na E...
CC warumi, geniveros na wengine waliozaa kabla ya ndoa kwa sababu zao maalum

nimependa sana ulivyosema
na bora umedeclare interest hongera best
mmoja nilizaa b4 marriage but now nimeolewa nna mwingine and they are both my kids nawapenda sana
semenii,pondeni nshazaa na wanalelewa vizuri na wote wanangu km huyu mmoja wanamwita haramu shauri yao
mwanamke mwana bibi wee
olewa usizae uone mtiti wake
mradi wazazi mzazi kanielewa na alimlea mwanangu for two yrs huyo niliyempata nje sijali
hv humu hamna hao waliozaliwa nje mpk mseme hvyo
wanajiskia vbya
 
Last edited by a moderator:
Ndo ivo mwenzangu, bibie aendelee tu kulea mbwa, mambo ya kuzaa awaachie wenye vizazi aka wanawake marijaki

Natamani nikuone siku moja ,navuta picha ni kajitu kamoja kamekaa na kasimu kamchina kazi kujiona yuko juu.
 
nimependa sana ulivyosema
na bora umedeclare interest hongera best
mmoja nilizaa b4 marriage but now nimeolewa nna mwingine and they are both my kids nawapenda sana
semenii,pondeni nshazaa na wanalelewa vizuri na wote wanangu km huyu mmoja wanamwita haramu shauri yao
mwanamke mwana bibi wee
olewa usizae uone mtiti wake
mradi wazazi mzazi kanielewa na alimlea mwanangu for two yrs huyo niliyempata nje sijali
hv humu hamna hao waliozaliwa nje mpk mseme hvyo
wanajiskia vbya

Nafikiri makosa ya wazazi watoto wasihusishwe,lea watoto wako vizuri nafasi ya kutubu ipo kwa muumba wako.
 
Salute kwa kuonyesha malovee kwa my number one wako... ila kuzaa nje ni mkosi na inashusha heshima ya familia, chunguza utagundua asilimia nyingi ya wanawake waliozaa nje maisha yao hayaeweki tofauti na walioolewa

umecremu binamu tena
umekremu mathematics
labda ndg zako waliozaa nje maisha yao ndo hayaeleweki mi nimezaa na kuolewa hv mie niliyezaa na yule mtoa mimba nani kimeo?
 
Nilisemaga kuhusu hili, ila akina nifah na geniveros wakanichamba eti kuzaa nje ya ndoa ndio habar ya mujini, wakati wanazaa watoto haramu, wanawapa shida tu viumbe visivyokuwa na hatia

sasa waoaji hakunaje??? sidhani kama kuna anayependa kuzaa nje ya ndoa, umri unakulazimisha.
 
Last edited by a moderator:
Ila wanawake wengi ivi karibuni, watoto wao ndio wanaowapa faraja zaidi, wanawake waliobahatika kuzaa wanafarijiwa sana na watoto wao, tofauti na zamani ambapo mume alikuwa ndo kila kitu

Twende mbele turudi nyuma, kuitwa mama /baba ni moja ya furaha ambayo haipimiki. Wengi wanatamani kuwa na watoto ila hawapati, Mungu ndivyo alivyowapangia, kila mtu ana changamoto zake, wengine unakuta kwao hakuna ata mmoja aliyeolewa au aliyezaa

na huo ndo ukweli
nna aunt yangu yuko 37 hana mm,hana mtoto kashabadili dini si chini ya mara nne kufata ndoa ila hola
mtoto hana anatamani ht mtoto hampati
ni mtu mwenye mawazo sana hadi hururma
ana pesa zake za madafu ila vyote hana
kiukweli MUNGU asikunyime vyote viwili
maisha hayataishika duniani
 
Nafikiri makosa ya wazazi watoto wasihusishwe,lea watoto wako vizuri nafasi ya kutubu ipo kwa muumba wako.

Mmh!! Makubwa ni huyu lolowapi wa dinazarde ninayamjua au? Mmh kumbe watu mna akili ila mnajitoaga fahamu eeh, nimefurai umemjua mungu.
 
Khaaa! Jamani warumi umeniuzia kesi hivihivi? Umesahau ile siku nilikua pamoja na wewe kupinga huu ushenzi wa kuzaa kabla ya ndoa? geniveros na wenzie akina Evelyn Salt ndio waliokua wanatetea.
Mimi namuogopa Mungu sana, siwezi na wala sitokaa nizae nje ya ndoa na Mungu aniepushie....
Inshaallah akuepushe hope utombeki ni bikra pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom