warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #161
Harusi tamu kuliko ndoa.Halafu binamu si kila mwanamke wa kuolewa......sawa sawa na kwenda mbinguni,wengine ni wa motoni tu
Maisha yana changamoto nyingi sana, kuna wanaotamani watoto ila hawapati, kuna wanaotamani kuoelewa ila hawaolewi mpaka wanazeeka, kila binadamu ana uchungu wake,ila hakuna uchungu mkali kama wa kukosa mtoto na unajua kabisa huwezi kupatak,inauma sana.