Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahahahaaaaa
na clinic nilikuona ukiwapeleka kupima uzito, na kuwachanja, full matunzo, alafu yule first born wako yule anaitwa nani vile,mmefananje sasa???
Inshaallah akuepushe hope utombeki ni bikra pia
Inshaallah akuepushe hope utombeki ni bikra pia
Umefanya vizur kutotangaza kweny media toka ukiwa na mimba ingekuwa wengine hapo mimba Ina siku moja tu wangelushia hewan na ikiwa na mwezi mmoja had mbinguni watu wangejua na ndy maana na mimba zenyewe wanazaa hewa na kuambulia kujamba tu.
kumbe wema ndio anafuga mbwa???
best do u know him or her?
mi simjui..!!!
Toka lini wambea tukakosa jipya?
Inshaallah akuepushe hope utombeki ni bikra pia
Watakuja Na Kwamba Hafanani Na Diamond
nimependa sana ulivyosema
na bora umedeclare interest hongera best
mmoja nilizaa b4 marriage but now nimeolewa nna mwingine and they are both my kids nawapenda sana
semenii,pondeni nshazaa na wanalelewa vizuri na wote wanangu km huyu mmoja wanamwita haramu shauri yao
mwanamke mwana bibi wee
olewa usizae uone mtiti wake
mradi wazazi mzazi kanielewa na alimlea mwanangu for two yrs huyo niliyempata nje sijali
hv humu hamna hao waliozaliwa nje mpk mseme hvyo
wanajiskia vbya
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,
Kitovu kimeingia ndani vile
Na huwezi mpata kwa sababu umetoa mimba lazima uombe upewe huyo wa haram unayemwona saiv hafai....
Hivi wewe umenisoma kuanzia mwanzo hadi mwisho au umeirukia hii comment kama kuku aliyeona punje?
Sikiliza,mimi msimamo wangu ni kutokuzaa nje ya ndoa maana dini yangu inanifundisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni kharamu...kwani nimekulazimisha?Fanya upendavyo kivyako vyako huu ni msimamo wangu tu sio sheria.
Hehehe nilijua lazima uje mbio...Hivi wewe umenisoma kuanzia mwanzo hadi mwisho au umeirukia hii comment kama kuku aliyeona punje?
Sikiliza,mimi msimamo wangu ni kutokuzaa nje ya ndoa maana dini yangu inanifundisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni kharamu...kwani nimekulazimisha?Fanya upendavyo kivyako vyako huu ni msimamo wangu tu sio sheria.
tehteh naomba uanachama kwanza siezi ingia bila bisha hodi mara3 nsije tolewa pichu mkononi....Usitufanyie hivyo wambea wenzio, kama tatizo mb, mimi na wenyekiti wenzangu tutakuchangia tu, karibu umbeani tudumishe umbea Africa mashariki