Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

na clinic nilikuona ukiwapeleka kupima uzito, na kuwachanja, full matunzo, alafu yule first born wako yule anaitwa nani vile,mmefananje sasa???

EEh kumbe uliniona? Nilienda kumtoa mimba yule mbwa wangu maana anazaa sana, nilimfunga kabisa na kizazi, nawapenda mbwa, mtasema mtajijuu, na bado nina mpango wa kuwanunulia gari la kutembelea
 
Inshaallah akuepushe hope utombeki ni bikra pia

Hivi wewe umenisoma kuanzia mwanzo hadi mwisho au umeirukia hii comment kama kuku aliyeona punje?
Sikiliza,mimi msimamo wangu ni kutokuzaa nje ya ndoa maana dini yangu inanifundisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni kharamu...kwani nimekulazimisha?Fanya upendavyo kivyako vyako huu ni msimamo wangu tu sio sheria.
 
Umefanya vizur kutotangaza kweny media toka ukiwa na mimba ingekuwa wengine hapo mimba Ina siku moja tu wangelushia hewan na ikiwa na mwezi mmoja had mbinguni watu wangejua na ndy maana na mimba zenyewe wanazaa hewa na kuambulia kujamba tu.

Hahahaaa, Uwiiiiii! Umeua aisee.
 
nimependa sana ulivyosema
na bora umedeclare interest hongera best
mmoja nilizaa b4 marriage but now nimeolewa nna mwingine and they are both my kids nawapenda sana
semenii,pondeni nshazaa na wanalelewa vizuri na wote wanangu km huyu mmoja wanamwita haramu shauri yao
mwanamke mwana bibi wee
olewa usizae uone mtiti wake
mradi wazazi mzazi kanielewa na alimlea mwanangu for two yrs huyo niliyempata nje sijali
hv humu hamna hao waliozaliwa nje mpk mseme hvyo
wanajiskia vbya

Bora mie nnae huyo huyo ...haramu kwa hao wasio nao kwa MUNGU WANGU NI HALALI make najua ni gift from him wala sio juhudi zangu za kukata kiuno HAPPY ME..wengine wanatafuta hata hao haramu hawawapati
 
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,

Kuzaa na ndoa vina uhusiano? Kama upo, ni wa aina gani?
 
Hivi wewe umenisoma kuanzia mwanzo hadi mwisho au umeirukia hii comment kama kuku aliyeona punje?
Sikiliza,mimi msimamo wangu ni kutokuzaa nje ya ndoa maana dini yangu inanifundisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni kharamu...kwani nimekulazimisha?Fanya upendavyo kivyako vyako huu ni msimamo wangu tu sio sheria.

ha ha ha sa mbn umekua mkali jamen ye kasema tu kwakua hutaki kuzaa bila shaka hutombeki make dhambi ya mimba inaanzia hapo ha ha ha ha nifaaaaa usimind banaaa
 
Hivi wewe umenisoma kuanzia mwanzo hadi mwisho au umeirukia hii comment kama kuku aliyeona punje?
Sikiliza,mimi msimamo wangu ni kutokuzaa nje ya ndoa maana dini yangu inanifundisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni kharamu...kwani nimekulazimisha?Fanya upendavyo kivyako vyako huu ni msimamo wangu tu sio sheria.
Hehehe nilijua lazima uje mbio...
Naomba kusamehewa kwa kauli yangu....Peace ru
 
Back
Top Bottom