Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

All in all aliekupa wewe ndio amenyima mwingine na sio wote wasiozaa wametoa mimba wakati mwingine wekeni akiba ya maneno kuzaa sikupata wako walozaa wanajuta kuwazaa hao watoto wako walozaa na mungu akawachukua wote.....hayo ni machungu makubwa kuliko huyo asiepata mtoto kesho yako huijui ni hayo tu..
 
best ilikua vurugu tupu na alidanganya mimba ya miezi minne alivyoolewa ss wakaenda kupima ultra sound mimba ya wiki 33 doubt ikaanza.
seriously yule dada alivyojifungua yule mtoto baasa ya kuona ni mhindi alimuua inavyosemekana ndani ya siku saba seriously
na mie nlijifungua trh 5 april yule dada trh 8 april
alikuja analalamika nimezaa mhindi mimi wakati kwetu hakuna ht mkenya
nkamwambia vumilia mi niache kwanza

akamuua mtoto ake?alombeba miezi tisa na siku moja ya fainali kueka roho mkononi duuuh ndoa bado ipo?
 
All in all aliekupa wewe ndio amenyima mwingine na sio wote wasiozaa wametoa mimba wakati mwingine wekeni akiba ya maneno kuzaa sikupata wako walozaa wanajuta kuwazaa hao watoto wako walozaa na mungu akawachukua wote.....hayo ni machungu makubwa kuliko huyo asiepata mtoto kesho yako huijui ni hayo tu..

swala la kutozaa ni chungu eeh linauma eeh hata kumuita mtoto haramu linauma pia
 
ni wachache wanaoelewa mpenzi, an't you proud of your self now ukimtazama mwanao?? what if ungekaangia chips yao lako, eti kwa kuogopa kusemwa umezaa nje ya ndoa, hiyo dhambi si ingekutafuna maisha. mimi siwezi mnanga mtu aliyezaa nje ya ndoa coz had never been in her shoes

and that is how it is..
sijutii na sitojuta mtu tuliplan ndoa jus the matter of fate
 
akamuua mtoto ake?alombeba miezi tisa na siku moja ya fainali kueka roho mkononi duuuh ndoa bado ipo?

aliua maana mkaka alimkataa mtoto pale pale
hivi mtoto mhindi na mama na baba weusi tiii
aliu kulinda ndoa na alimuambia ndoa hii familia ndo imelazimisha they ar not happy
nimeolewa but the guy still need be to elope with me to somewhere but i cant namheshimu my ngosha sana tu
 
uliye nae sasa ndio mpango wa Mungu.
 
All in all aliekupa wewe ndio amenyima mwingine na sio wote wasiozaa wametoa mimba wakati mwingine wekeni akiba ya maneno kuzaa sikupata wako walozaa wanajuta kuwazaa hao watoto wako walozaa na mungu akawachukua wote.....hayo ni machungu makubwa kuliko huyo asiepata mtoto kesho yako huijui ni hayo tu..

na sio wote waliozaa nje wana tamaa au hawajielewi
na hamna mtu mwenye haki ya kuita mtoto wa mwenzie eti haramu is it...?!
mie mtu asiezaa siwezi mkashifu maana wapo ht hawajawahi kutoa mimba na hawana ht watoto hao I FEEL THEIR PAIN nna aunt yangu jamani yuko hvyo
ila km wamekaangia chips mayai shauri zao
 
Kwani wewe ulikuja polepole? Ulikua unaujaribu moto kwa kugusa eeh? Poleeeee.
Next time usiwe unadandia treni kwa mbele, jaribu kumsoma mtu kwanza.
tehtehteh sikujua kama pipo zipo short temper kiivo...me sijajaribu wala sinaga tabia ya kujaribu ni vile nilitaka nitunukiwe 'Urgentlewoman' kwa kutaka peace iendelee sikujua kumbe medandia treni kwa mbele lol
 
Hey,huu mjadala sitaki kuuendeleza maana sio pumzi tokea asubuhi niko nayo.
Hata hivyo huwezi kusema nina short temper kutokana na approaching yako.Ulitegemea nikuchekee? Wewe umeyaona mazuri yale? Inshort umenikera sana na hata hivyo nilitaka nikupotezee ila nikaamua kujibu mapigo na mie.
Anyways,kwaheri.
 
hhhaaahhhaaaaa
 
Ndo maana nikasema samahani kwangu ni dhambi kubwa sana kumkera mtu....
Na asamehewe aombaye radhi toka moyoni...
Kwaheri dada
 
nimependa sana ulivyosema
na bora umedeclare interest hongera best
mmoja nilizaa b4 marriage but now nimeolewa nna mwingine and they are both my kids nawapenda sana
semenii,pondeni nshazaa na wanalelewa vizuri na wote wanangu km huyu mmoja wanamwita haramu shauri yao
mwanamke mwana bibi wee
olewa usizae uone mtiti wake
mradi wazazi mzazi kanielewa na alimlea mwanangu for two yrs huyo niliyempata nje sijali
hv humu hamna hao waliozaliwa nje mpk mseme hvyo
wanajiskia vbya

Umeongea ki2 kizuri sana watoto ni baraka sana na mara nyingi huja n baraka flani
 
ndo ukweli ulivyo
yaani kila mtoto ana baraka zake
sielewi wanaowaita watoto haramu wa wenzao

Baraka za watoto nazijua cz na ushahidi istoshe wengi wanapata mimba wanazitoa mwisho w cku ndio vilio.angalia cku hizi vijana wengi w kiume wanapenda kua n watoto kuliko kuoa
 
Back
Top Bottom