Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Baraka za watoto nazijua cz na ushahidi istoshe wengi wanapata mimba wanazitoa mwisho w cku ndio vilio.angalia cku hizi vijana wengi w kiume wanapenda kua n watoto kuliko kuoa

mtoto ni mtoto tu na hawa so called haramu watu wanawatafuta hadi kwa ndumba na kulala makaburini hawawapati.
mie zimeingia zenyewe zile nyeupeee zikakaaa na kizygote kikatunga
watu waache kufuru
 
mimi binafsi sikuzaliwa kwenye ndoa nimeona jinsi gani nimepata shida ukiwa kwa mama unajiona hauko kwenu ukiwa kwa baba ivyo ivyo maana hao wote wanaishi na watu ambao mmoja si mzazi wako kiasi kwamba iyo hali ilinitesa sana...nikaapa sitazaa bila kuolewa maana niliogopa nisije nikazaa namtu nisiolewa mwanangu yakamkuta yalonikuta unaweza ukaolewa na mwingine hata asimpende uyo mwanao.....nashukuru mungu nimeolewa na ninawatoto wa3 wa mwisho nimejifungua miezi 2 ilopita tu
 

Naachaje sasa kukuongezea rep power kwa hili lijicomment??
Umeongea kikubwa!
 

Nifa kama ww ni mwanamke naomba huu mdomo na maneno yako yawe ya jf tu(kufurahisha genge na kijiumaarufu) ila kama uko hivyo in real life I see we ni ile design ya wadada wa vigodoro.. yaan kuna vile vidada flan hivi vya uswazi vilivyobahatika kusogeza madarasa(from the way u write unaonekana hujaishia la 7 D) maana waandishi wa type yako ni kina dougie master(thou yeye nahisi hamna shule) wale kina ashaboko, ashangedere yaan kigodoro style... maana unaropoka mpaka unapoteza haiba ya kike #kisrani
 

aiseeh pole sana hiyo ndio niliyokua nawaambia wenzangu waache kuponda kuna victims humu
eti mtu anaita we ni haramu hapo nnapinga sana
mie nimezaliwa ndoani ila nna first time b4 marriage
and am sorry kwa popote nilipokukwaza
 
tehteh naomba uanachama kwanza siezi ingia bila bisha hodi mara3 nsije tolewa pichu mkononi....

Tumekupokea kwa mikono minne, ngoja nimuite Dinazarde akuapishe viapo vyote kuwa utapenda umbea wakati wote na uko tayar kufungwa jela miaka 3 au kulipa faini kwa ajili ya umbea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…