Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baraka za watoto nazijua cz na ushahidi istoshe wengi wanapata mimba wanazitoa mwisho w cku ndio vilio.angalia cku hizi vijana wengi w kiume wanapenda kua n watoto kuliko kuoa
Ivi kuna kitu kilicho haramu zaidi ya kutombeka bwanaa!
sijaandika kokote mtoto wa haramu..nashukuru mungu nimejaaliwa watoto 3swala la kutozaa ni chungu eeh linauma eeh hata kumuita mtoto haramu linauma pia
mimi binafsi sikuzaliwa kwenye ndoa nimeona jinsi gani nimepata shida ukiwa kwa mama unajiona hauko kwenu ukiwa kwa baba ivyo ivyo maana hao wote wanaishi na watu ambao mmoja si mzazi wako kiasi kwamba iyo hali ilinitesa sana...nikaapa sitazaa bila kuolewa maana niliogopa nisije nikazaa namtu nisiolewa mwanangu yakamkuta yalonikuta unaweza ukaolewa na mwingine hata asimpende uyo mwanao.....nashukuru mungu nimeolewa na ninawatoto wa3 wa mwisho nimejifungua miezi 2 ilopita tuna sio wote waliozaa nje wana tamaa au hawajielewi
na hamna mtu mwenye haki ya kuita mtoto wa mwenzie eti haramu is it...?!
mie mtu asiezaa siwezi mkashifu maana wapo ht hawajawahi kutoa mimba na hawana ht watoto hao I FEEL THEIR PAIN nna aunt yangu jamani yuko hvyo
ila km wamekaangia chips mayai shauri zao
nilitoe wapiii...
waliopikia mayai chips leeni mbwa...!!
Unaumwa pumbuja wewe
All in all aliekupa wewe ndio amenyima mwingine na sio wote wasiozaa wametoa mimba wakati mwingine wekeni akiba ya maneno kuzaa sikupata wako walozaa wanajuta kuwazaa hao watoto wako walozaa na mungu akawachukua wote.....hayo ni machungu makubwa kuliko huyo asiepata mtoto kesho yako huijui ni hayo tu..
Hey,huu mjadala sitaki kuuendeleza maana sio pumzi tokea asubuhi niko nayo.
Hata hivyo huwezi kusema nina short temper kutokana na approaching yako.Ulitegemea nikuchekee? Wewe umeyaona mazuri yale? Inshort umenikera sana na hata hivyo nilitaka nikupotezee ila nikaamua kujibu mapigo na mie.
Anyways,kwaheri.
mimi binafsi sikuzaliwa kwenye ndoa nimeona jinsi gani nimepata shida ukiwa kwa mama unajiona hauko kwenu ukiwa kwa baba ivyo ivyo maana hao wote wanaishi na watu ambao mmoja si mzazi wako kiasi kwamba iyo hali ilinitesa sana...nikaapa sitazaa bila kuolewa maana niliogopa nisije nikazaa namtu nisiolewa mwanangu yakamkuta yalonikuta unaweza ukaolewa na mwingine hata asimpende uyo mwanao.....nashukuru mungu nimeolewa na ninawatoto wa3 wa mwisho nimejifungua miezi 2 ilopita tu
sijaandika kokote mtoto wa haramu..nashukuru mungu nimejaaliwa watoto 3
tehteh naomba uanachama kwanza siezi ingia bila bisha hodi mara3 nsije tolewa pichu mkononi....
mmh anatia huruma pole zake...Mungu atampa