Naona thread imemgusa mama ubaya kaamua kufunguka insta, mmh anatia huruma
AHahahaha alikuwa anasoma hii thread nini? Naona kapanick pale kati, ila bora kasema ukweli, amrudie mungu aache kuamini waganga, mtoto mdogo mshirikina ukizeeka si utakuwa mchawi nfyuuu
i feel sorry for her
but hakumbuki kua analea mbwa km watoto na alituambiaga wale ndo wanawe fiona na vanila
ila dah kaniumiza moyo
Kutokea wapi labda?
aiseeh pole sana hiyo ndio niliyokua nawaambia wenzangu waache kuponda kuna victims humu
eti mtu anaita we ni haramu hapo nnapinga sana
mie nimezaliwa ndoani ila nna first time b4 marriage
and am sorry kwa popote nilipokukwaza
Wapi fionaaaa, nfyuuuu si alienda kumtoa kizazi fiona asizae, itakuwa na yeye ndo michezo yake ndo maana hazai, mi nikashangaa yani unapeleka mbwa hospital kisa uwatoe mimba na kufunga kizazi? Si angeazima yeye kizazi cha vanilla atotoe jaman kuliko kumfunga
Umezaa haramu binamu, kubali tu kwani inahuu? BWana yesu asifiwe, nipo church hvyo staki league mwenzio
Yani liko vzuri sio la bibie limetepweta ka mlenda sijawahi ona mwenye mimba akawa na tumbo design Ile aisee
Hahaha me niking'ang'anizi bilaa nipo taari kufa na tai shingoni sema unapopewa lift usitake piga honi...unakuwa mpole kwanza...🙂🙂Huzami binamu ila cha moto utakiona, we kaa humu humu mpaka kieleweke, si unataka kuingia kundini? Hii ndio assignment nimekupa ukiweza umepita
leo naumwaamen, we binamu ndo dini huna au?
Yan huyu (warumi) atakiwi kukutoa kamasi kwasababu mwisho wa siku si yeye anaeflash kazi yake itakuwa kuuliza tu mama vipi hapo ndo watapokumbuka ule mda wakuflash....Haramu ni tendo ila mwanangu hana uharamu na wala sikumtoa hapo church muombe msamaha MUNGU wako
mmh!! Ila kuingia humu uumwi? Mmh dhambi izo mwenzio mekuja kuzipunguza
yan huyu (warumi) atakiwi kukutoa kamasi kwasababu mwisho wa siku si yeye anaeflash kazi yake itakuwa kuuliza tu mama vipi hapo ndo watapokumbuka ule mda wakuflash....
Naona thread imemgusa mama ubaya kaamua kufunguka insta, mmh anatia huruma
kiki tu ile hana lolote