Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Haaa leo Dinazarde unakosa mengi kweliii, warumi umeona na hii? nifah mama Swiss kafunguka ujue, evelyne salt ni ubuyu huu.

AHahahaha alikuwa anasoma hii thread nini? Naona kapanick pale kati, ila bora kasema ukweli, amrudie mungu aache kuamini waganga, mtoto mdogo mshirikina ukizeeka si utakuwa mchawi nfyuuu
 
Last edited by a moderator:
AHahahaha alikuwa anasoma hii thread nini? Naona kapanick pale kati, ila bora kasema ukweli, amrudie mungu aache kuamini waganga, mtoto mdogo mshirikina ukizeeka si utakuwa mchawi nfyuuu

aache kulea mbwa kwanza
 
i feel sorry for her
but hakumbuki kua analea mbwa km watoto na alituambiaga wale ndo wanawe fiona na vanila

ila dah kaniumiza moyo

Wapi fionaaaa, nfyuuuu si alienda kumtoa kizazi fiona asizae, itakuwa na yeye ndo michezo yake ndo maana hazai, mi nikashangaa yani unapeleka mbwa hospital kisa uwatoe mimba na kufunga kizazi? Si angeazima yeye kizazi cha vanilla atotoe jaman kuliko kumfunga
 
aiseeh pole sana hiyo ndio niliyokua nawaambia wenzangu waache kuponda kuna victims humu
eti mtu anaita we ni haramu hapo nnapinga sana
mie nimezaliwa ndoani ila nna first time b4 marriage
and am sorry kwa popote nilipokukwaza

Umezaa haramu binamu, kubali tu kwani inahuu? BWana yesu asifiwe, nipo church hvyo staki league mwenzio
 
Wapi fionaaaa, nfyuuuu si alienda kumtoa kizazi fiona asizae, itakuwa na yeye ndo michezo yake ndo maana hazai, mi nikashangaa yani unapeleka mbwa hospital kisa uwatoe mimba na kufunga kizazi? Si angeazima yeye kizazi cha vanilla atotoe jaman kuliko kumfunga

hahaaaaaaa
hhhaaaaa yani yyule anakufuru sana ujue
 
Huzami binamu ila cha moto utakiona, we kaa humu humu mpaka kieleweke, si unataka kuingia kundini? Hii ndio assignment nimekupa ukiweza umepita
Hahaha me niking'ang'anizi bilaa nipo taari kufa na tai shingoni sema unapopewa lift usitake piga honi...unakuwa mpole kwanza...🙂🙂
 
Naona thread imemgusa mama ubaya kaamua kufunguka insta, mmh anatia huruma

anatia huruma na huenda ni kweli aloyasema make chibu kamtunzia siri hajasema hilo akaamua amseme penny tu kuwa alizitoa 2
 
Back
Top Bottom