wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Kakuambia ana maumivu???kampoze basi....naona sifa ndio nimefight for my love na nmefanikiwa na mtoto nshamzaa kabisa na anatambulika mjukuu from es una lingine,???
Waona sifa mwenyewe??? Wakati mama yako anakukataza ukamuona bwegee, ilaa ujui maumivu anayoyapataa kwa kichwa chako kigumu.
KIzazi kimeoza yule
na ni kigumu kweli kweli huna.lolote ujanja wa mkasi huo kukata mbele huku nyuma watiwa vidole....wale waleee kuzini uzini afu mimba ndo uione dhambi kajambeeeeSina lingine kwa sababu hata nikianzisha lingine nikazi bure, kichwa kigumu wewe, hatutaelewanaa
KIzazi kimeoza yule
Lakini si unataman ungezaa ndani ya ndoa binamu? maisha lakini usijali ndoa kitu gani bana
Ndo ivo mwenzangu, bibie aendelee tu kulea mbwa, mambo ya kuzaa awaachie wenye vizazi aka wanawake marijaki
Watu tunataka kujimwaga bwana ukumbini full mashauzi, harusi tamu nyie
ha ha ha ha nshasema ukizaa huulizwi ndoa ila funga ndoa usizae uone unavoulizwa mtoto ha ha ha ubinadamu kazi
Najisikia kumuonea huruma wema, angeokoka tu, kwa mungu kuna furaha hakuna majonzi wala huzuni, aokoke aanze maisha mapya tu
Ila wanawake wengi ivi karibuni, watoto wao ndio wanaowapa faraja zaidi, wanawake waliobahatika kuzaa wanafarijiwa sana na watoto wao, tofauti na zamani ambapo mume alikuwa ndo kila kitu
Twende mbele turudi nyuma, kuitwa mama /baba ni moja ya furaha ambayo haipimiki. Wengi wanatamani kuwa na watoto ila hawapati, Mungu ndivyo alivyowapangia, kila mtu ana changamoto zake, wengine unakuta kwao hakuna ata mmoja aliyeolewa au aliyezaa
Watu tunataka kujimwaga bwana ukumbini full mashauzi, harusi tamu nyie