Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Kakuambia ana maumivu???kampoze basi....naona sifa ndio nimefight for my love na nmefanikiwa na mtoto nshamzaa kabisa na anatambulika mjukuu from es una lingine,???

Sina lingine kwa sababu hata nikianzisha lingine nikazi bure, kichwa kigumu wewe, hatutaelewanaa
 
Sina lingine kwa sababu hata nikianzisha lingine nikazi bure, kichwa kigumu wewe, hatutaelewanaa
na ni kigumu kweli kweli huna.lolote ujanja wa mkasi huo kukata mbele huku nyuma watiwa vidole....wale waleee kuzini uzini afu mimba ndo uione dhambi kajambeeee
 
ha ha ha ha nshasema ukizaa huulizwi ndoa ila funga ndoa usizae uone unavoulizwa mtoto ha ha ha ubinadamu kazi

Ila wanawake wengi ivi karibuni, watoto wao ndio wanaowapa faraja zaidi, wanawake waliobahatika kuzaa wanafarijiwa sana na watoto wao, tofauti na zamani ambapo mume alikuwa ndo kila kitu

Twende mbele turudi nyuma, kuitwa mama /baba ni moja ya furaha ambayo haipimiki. Wengi wanatamani kuwa na watoto ila hawapati, Mungu ndivyo alivyowapangia, kila mtu ana changamoto zake, wengine unakuta kwao hakuna ata mmoja aliyeolewa au aliyezaa
 
Najisikia kumuonea huruma wema, angeokoka tu, kwa mungu kuna furaha hakuna majonzi wala huzuni, aokoke aanze maisha mapya tu

ha ha ha ha warumi bana kwani wema ana matatizo ha ha ha
 
Ila wanawake wengi ivi karibuni, watoto wao ndio wanaowapa faraja zaidi, wanawake waliobahatika kuzaa wanafarijiwa sana na watoto wao, tofauti na zamani ambapo mume alikuwa ndo kila kitu

Twende mbele turudi nyuma, kuitwa mama /baba ni moja ya furaha ambayo haipimiki. Wengi wanatamani kuwa na watoto ila hawapati, Mungu ndivyo alivyowapangia, kila mtu ana changamoto zake, wengine unakuta kwao hakuna ata mmoja aliyeolewa au aliyezaa

word....
 
Mtoto anaonekana haramu kuliko kitendo.Na wakati dhambi ya kwanza uzinifu halafu mimba ni tunda ya ile dhambi.Bora uzae kuliko kutoa ndo wazidi kujipa dhambi
 
Back
Top Bottom