Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Khaaa! Jamani warumi umeniuzia kesi hivihivi? Umesahau ile siku nilikua pamoja na wewe kupinga huu ushenzi wa kuzaa kabla ya ndoa? geniveros na wenzie akina Evelyn Salt ndio waliokua wanatetea.
Mimi namuogopa Mungu sana, siwezi na wala sitokaa nizae nje ya ndoa na Mungu aniepushie....

Mama usiite ushenzi buannaa plz!
Kwa iyo unamaanisha watoto wanaopatikana hapo ni washenzi?
Mhuuu😕
Kuzaa nje ya ndoa ni zambi kama kutombeka tuu! Sema kunaacha alama! Tumwache Mungu aseme sio sisi vitombeko.Tena anayezaa ni jasiri kuliko anayetoa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,mama nimegusa maslahi binafsi nini?..lol
Hakuna asiyejua kuzini ni dhambi hakuna dini yoyote inayoruhusu uzinifu! Sasa jamani kuzini tuzini weeee kabla ya ndoa na kuzaa tuzae pia? Kwangu mimi hapana.Ukizini zini kwa maslahi yako binafsi sio kubeba hadi mimba na kuzaa kabla ya ndoa.

Sasa utombeke wee ukipata mimba uipeleke wapi?
Watu wana hukumu zao na Mungu pia.Mie nawapa big up.
Wazae tu kuliko kutoa
 
Mmmh!! Mwenzangu huyo cheusi dawa nae ata atumuelewi, maana hyo mimba toka mwaka jana naona ipo tu sijui kabeba jiwe na yeye khaaa ,maana hyo mimba nahis mwaka imepita sasa
Ya kwake hujui zingine wanachelewa kujifungua
 
Mama usiite ushenzi buannaa plz!
Kwa iyo unamaanisha watoto wanaopatikana hapo ni washenzi?
Mhuuu😕
Kuzaa nje ya ndoa ni zambi kama kutombeka tuu! Sema kunaacha alama! Tumwache Mungu aseme sio sisi vitombeko.Tena anayezaa ni jasiri kuliko anayetoa.

Uwiiiiii warumi unaona sasa yameanza yaleyale ya siku zileee hadi nikakuachia ligi nikakaa pembeni ila leo siachi nakomaa hadi mwisho....
Ms.Lincoln kwanza mimi na wewe tuna tofauti za kiimani ila sio suluhisho la kuhalalisha ukharamu huu.
Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni haramu tu utake usitake.Kikubwa ni kumuomba Mungu atuepushe na hili janga.Kuzaa ndani ya ndoa kuna heshima yake bwana!
 
Last edited by a moderator:
Jamani tumbo la Zari kutepeta mnaona ajabu gani? Hata kama kajitahidi kujitunza ila tujue kua naye ni mwanamke wa kawaida kama wengine.
Hili tumbo ni la nne sasa mnategemea nini? Asikuambie mtu kuzaa ni kuzaa tu hata kama kajitunza lakini sio kote lazima kuna sehemu ukweli utabaki kua katotoa tena wengi!

Mie naona ajabu Kuna watu Wana six children na liko normal sitakaa kuzaa kupo hata mbuzi na nyumbu wanazaa kwahyo hamna ajabu yoyote tu ni normal kwa sababu Ana kishimo
 
Uwiiiiii warumi unaona sasa yameanza yaleyale ya siku zileee hadi nikakuachia ligi nikakaa pembeni ila leo siachi nakomaa hadi mwisho....
Ms.Lincoln kwanza mimi na wewe tuna tofauti za kiimani ila sio suluhisho la kuhalalisha ukharamu huu.
Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni haramu tu utake usitake.Kikubwa ni kumuomba Mungu atuepushe na hili janga.Kuzaa ndani ya ndoa kuna heshima yake bwana!
Haramu= ushenzi?
Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu kitendo ndo kilaaniwe.
I cherish children, they are beautiful souls, dhambi ni za wazazi wao.Mimi nakataa hamna such a thing kama uharamu kwa mtoto kiumbe kilichozaliwa bila kupenda.
Am not encouraging uzinzi ila napenda tuwe na hadhi yetu ya ubinadamu.Mungu aumbe mtoto afu tumwite haramu?? Unfair
Yani upo sahihi, kwa imani yangu hakuna such a thing yani hata ile nyama unayoita haramu kwangu ni favourite dish.
Love u anyways.Tuishie hapa.
 
Mimi pia nilipanga hii iwe comment ya mwisho katika mdahalo huu baina yangu mimi na wewe ndio maana nilitanguliza tofauti za kiimani kwanza.
Love you more my girl. ....
♡♡♡♡♡♡♡.
 
Mie naona ajabu Kuna watu Wana six children na liko normal sitakaa kuzaa kupo hata mbuzi na nyumbu wanazaa kwahyo hamna ajabu yoyote tu ni normal kwa sababu Ana kishimo

Heeeeee mama wewe mbona umeongeza mambo mengine tena?
Hivi umewahi kuona matumbo yaliyotepeta kwa uzazi kweli au unasema tuu? Acha bwana nguo zinaficha mengi na hata hivyo ile mimba ni bado ndogo subiri ikishafika miezi mitano hadi saba ndipo tutakapoanza kujudge.
 
Kwa iyo mnashauri wawe wananyonga au??

Kwani kinga hakuna? Wanawatesa tu watoto wa watu, uwezo wenyewe wa kuwalea hawana

Juzi nimemuona faiza yule aliyezaa na mbunge Mr sugu akilalamika sugu haleti matumizi ya mtoto, apo kazaa na mbunge mheshimiwa ila bado matumizi ya mtoto ishu, aya hao wengine waliozaa na mavuvuzela hali ikoje? Wavute subira ndio maana hawaolewi, unaanzaje kuoa jitu lina watoto sita kila mtu baba ake inahu?
 
Heeeeee mama wewe mbona umeongeza mambo mengine tena?
Hivi umewahi kuona matumbo yaliyotepeta kwa uzazi kweli au unasema tuu? Acha bwana nguo zinaficha mengi na hata hivyo ile mimba ni bado ndogo subiri ikishafika miezi mitano hadi saba ndipo tutakapoanza kujudge.

Hamna hata anaye judge ni kawaida tu mi Hao nimeshuhudia kabisa labda useme nguo labda na mwili.
 
Back
Top Bottom