Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Mama usiite ushenzi buannaa plz!
Kwa iyo unamaanisha watoto wanaopatikana hapo ni washenzi?
Mhuuu😕
Kuzaa nje ya ndoa ni zambi kama kutombeka tuu! Sema kunaacha alama! Tumwache Mungu aseme sio sisi vitombeko.Tena anayezaa ni jasiri kuliko anayetoa.

Wanazaa kwani wanapenda? Si wanadanganywa kuolewa na mali za mabwana zao, faiza kazaa na mbunge na bado analalamika matumizi ya mtoto hapeleki, waache kumanua manua ovyo uwezo wenyewe hawana.
 
Kwa hizo za Hawa mastaa wetu,Ina maana hawatumii kinga,au wanazaa baada ya kupima kwanza?,..na ukimwi huu mhhh sijui...
 
Wanazaa kwani wanapenda? Si wanadanganywa kuolewa na mali za mabwana zao, faiza kazaa na mbunge na bado analalamika matumizi ya mtoto hapeleki, waache kumanua manua ovyo uwezo wenyewe hawana.

Binamu tuwawache wazae kwani wamekuja kupitisha bakuli la mchango?
 
Walikuwa wanamkashfu zari, jana pia salma msangi alijifanya ana tumbo kubwa akasema kashiba ugali

Watajijua wenyewe na wivu wao roho mbaya zimewajaa tu.
Subiri Zari ajifungue ndio watakoma.
 
Hahahaaa,hivi mtu unajiitaje team wema jamani? Kwa kipi hasa?
Wafuasi wengi wa wema ni wauza papuchi tu.

KWanza washafulia, boss wao mwenyewe yupo hoi bin taaban
 
KWanza washafulia, boss wao mwenyewe yupo hoi bin taaban

Hahahaaa,eti Tanzanian's sweetheart labda mimi sio mtanzania.Anatia huruma kweli, hebu nihadithie tena alivyolia alivyosikia ndomo kaoa? Ulinichekesha sana.
 
Hahahaaa,eti Tanzanian's sweetheart labda mimi sio mtanzania.Anatia huruma kweli, hebu nihadithie tena alivyolia alivyosikia ndomo kaoa? Ulinichekesha sana.

AHahahhh binamu mchokoz wewe, ndio hvyo mwenzangu nasikia bibie mbili ilikuwa haikai kutwa kupiga simu kuulizia kwa watu kama kweli, alichanganyikiwaje? Ndomo kasema bora afe kuliko kumrudia wema, eti wema nae anajifanya hamtak diamond ata aje na bilgate mmh masikin anaanza kuugua ugonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom