warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #81
Mama usiite ushenzi buannaa plz!
Kwa iyo unamaanisha watoto wanaopatikana hapo ni washenzi?
Mhuuu😕
Kuzaa nje ya ndoa ni zambi kama kutombeka tuu! Sema kunaacha alama! Tumwache Mungu aseme sio sisi vitombeko.Tena anayezaa ni jasiri kuliko anayetoa.
Wanazaa kwani wanapenda? Si wanadanganywa kuolewa na mali za mabwana zao, faiza kazaa na mbunge na bado analalamika matumizi ya mtoto hapeleki, waache kumanua manua ovyo uwezo wenyewe hawana.