Picha ya zamani sana....karudie kusoma tena
Milen anapendwa kweli, angekuwa mama ubaya apa angepokea vichambo vya haja wangemwambia ana fistula kwa ajili ya kugegedwa sana
Nieleweshe
Ina maana aliumwa zaman or
Kwa sasa mzima kwa hiyo
Tatizo la kupimwa oil hili..vijana wanapenda sana kuingiza vidole kwenye nyuchi sasa wanajaribu via vya uzazi
Ana tatizo la endometriosis ....lilipelekea akafanyiwa surgery nyingi tu....na hizo picha juu ni moja kati ya surgery hizo....na hapo ilikua miaka mitatu iliyopita...
Hiyo hali ndo anayo sasa ivi binamu, uo ugonjwa wa matatizo ya uzazi anayo mda na alishawah fanyiwa operation south africa na marekani, hii nais ni ivi karibun baada ya hali kuwa mbaya
Unahisi?..hizo picha za zamani binamu.....
Ana tatizo la endometriosis ....lilipelekea akafanyiwa surgery nyingi tu....na hizo picha juu ni moja kati ya surgery hizo....na hapo ilikua miaka mitatu iliyopita...
Yes nahis, picha zinaweza kutumika tu kwa sababu namzungumzia happy na hyo picha ni ya happy haijalishi ni zaman au sasa ivi, hiyo picha imetumika kusindikiza message tu binamu yangu.
Happy hajawahi kuzungumzia tatizo la kukojoa kwa kutumia mipira maalumu, bali ni tatizo la uzazi linalomsumbua ambalo alisema she can not conceive naturally(hawezi kuzaa kwa njia ya kawaida) labda afanye artificial insemination
Kama una hiyo makala tupiamo cos Binamu anasema ya siku za karibuni
Binamu hapo juu umesema "anatumia mpira".....which means 'sasa'......nami napinga kuwa kuwa si sasa......hizi picha kazitoa juzi tuu na Maelezo kuwa ktk moja ya surgery alizofanyiwa kuna moja ili athiri kwa namna moja ama nyingine njia yake ya mkojo.....anyways....pamoja binamu
Napenda kuchati na wewe mchumba(jokes) una mawazo mazuri, yah it might be that way binamu ila still she has a problem ya kukojolea mipira as she said au kashapona sie hatujui
Jamani hivi hakuna waombaji wamuombee, she is possessed with demons. ampe yesu maisha yake, aone hicho kizazi na hilo kojo halijakata. Tunakufa kwa kukosa maarifa. Mungu ampe ufahamu akate shauri