Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

Wadada wanapotoa mimba huwa wanaona ni ufahari, lakini kiroho ni mateso! tuwaombee sana Mungu awape macho ya rohoni
 
wapi gwajima?mungu akufanyie wepesi dada epi.
 
Huyu dada anateseka sana kwa kweli..pole sana millen..usisahau kusal sasa ili mungu aingilie kati hili tatizo lako
 
Jamani hivi hakuna waombaji wamuombee, she is possessed with demons. ampe yesu maisha yake, aone hicho kizazi na hilo kojo halijakata. Tunakufa kwa kukosa maarifa. Mungu ampe ufahamu akate shauri

si umuombee jamani.
 
Shosti nipo tu, mambo mengi tu
Ile issue...! nifanikiwe wapi mamangu, niliamua kuacha tu

ram, upo best?mambo yako umefanikiwa?mekumis bestito umepotea
 
Last edited by a moderator:
Dah jmn sijui kamkosea Mungu nini,watoto hatazaa,na kukojoa tena ,poleh sanaa
 
Dah jmn sijui kamkosea Mungu nini,watoto hatazaa,na kukojoa tena ,poleh sanaa

Ahaha ahah nacheka kama mazur, umenichekesha sana eti kuzaa hazai na kukojoa tena dah nimecheka sana, ndo mitihan binamu hujafa hujaumbika
 
Pole happy, ila mleta uzi hujatuambia kama hiyo ndio itakuwa hali ya kudumu au ni kwa muda gani ?
 
Mimi mwenyewe nashangaa...nimemuona anahojiwa na global publisher wala hakusema kuwa anatumia mipira...tuache kutoa habari za uongo jamani...


hapo ni wakati alipofanyiwa operation bana, yuko okay sasa hivi
 
Watu wengi hawaelewi matatizo ya wanawake. Tatizo kama endometriosis halina uhusiano na utoaji mimba wala sababu yake haijulukani kitaalam. Vivimbe hivi huweza kumtoa mwanamke yoyote at childbearing age. Shida wanawake wengi hawana mazoea ya kucheki afya ya uzazi, so wengi wanaishi na vivimbe vya namna hii bila kujua.

Ushauri wangu kwa dada Happiness kama njia ya kawaida imeshindikana na yeye anataka mtoto atumie artificial methods. Technology is so advanced now and everything is possible
 
kuna mahala this girl messed up., anajua mwenyewe wapi.
Apole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…