SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,714
unapenda kuhoji ww? si uwe unakubali tuu??binamu hiyo taarifa umeitoa wapi??
Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii
Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha
Hivyo huko ulaya nako kuna wanamaombi?!
Wapo binamu sema sio njaa kama wana maombi wa huku bongo, wana maombi wa bongo wakishajua una pesa tu mkuu mbona utajuta utakavyosumbuliwa, vyeo vyote kanisan utapewa ,nyumban kwako watumish watajaa kila siku kuja kula na kuomba hela ya kufanyiwa maombi ila sio wote wako hivyo
Wadada wanapotoa mimba huwa wanaona ni ufahari, lakini kiroho ni mateso! tuwaombee sana Mungu awape macho ya rohoni
kwani na yy aliwahi kutoa mimba?
Nawewe!! Utaoa wangapi?Hivi ameolewa? Dah sijaoa bado. Ningemuoa hivyohivyo
kabisa mkuu hatujuitu sa nyingine kuwa Mung kwetu sisi ni kimbilio na msaada uonekanao wakati wa mateso.Kuna siku nilivisit page yake insta nikamwambi habar za Yesu na nguvu ya maombez aliisoma na nikashukuru kaiona lakin jibu alilonipa liliniuma sana nikajiuliza hapo si tusi ingekua tusi je ?niliishia kuomba msamaha maana some of her followers walinchamba pia.Kweli pesa ni shina la uovu.Mungu wa mbinguni amponye ili ajitwalie utukufu.Amen.Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii
Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha
kabisa mkuu hatujuitu sa nyingine kuwa Mung kwetu sisi ni kimbilio na msaada uonekanao wakati wa mateso.Kuna siku nilivisit page yake insta nikamwambi habar za Yesu na nguvu ya maombez aliisoma na nikashukuru kaiona lakin jibu alilonipa liliniuma sana nikajiuliza hapo si tusi ingekua tusi je ?niliishia kuomba msamaha maana some of her followers walinchamba pia.Kweli pesa ni shina la uovu.Mungu wa mbinguni amponye ili ajitwalie utukufu.Amen.
proof please.Alishapona,hizi ni habari za cku mingi
Proof unayoitaka ni kwamba hii thread ni ya 2014proof please.