Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii

Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha

Hivyo huko ulaya nako kuna wanamaombi?!
 
Hivyo huko ulaya nako kuna wanamaombi?!

Wapo binamu sema sio njaa kama wana maombi wa huku bongo, wana maombi wa bongo wakishajua una pesa tu mkuu mbona utajuta utakavyosumbuliwa, vyeo vyote kanisan utapewa ,nyumban kwako watumish watajaa kila siku kuja kula na kuomba hela ya kufanyiwa maombi ila sio wote wako hivyo
 
hahahaaa..!aunt yangu jamani ana vyeo vyote ngoja jumapili wapendwa wanavyojaa
 
Pole sana Dada Hepines Magese. Nimecheki hyo picha nimemuonea huruma sana tha way anavopata shida. Njia pekee ilobaki ni kumuomba Mungu naya atende kazi yake. Hakuna kitu inashindikana kwake.
Pole sana dada.
 
Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii

Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha
kabisa mkuu hatujuitu sa nyingine kuwa Mung kwetu sisi ni kimbilio na msaada uonekanao wakati wa mateso.Kuna siku nilivisit page yake insta nikamwambi habar za Yesu na nguvu ya maombez aliisoma na nikashukuru kaiona lakin jibu alilonipa liliniuma sana nikajiuliza hapo si tusi ingekua tusi je ?niliishia kuomba msamaha maana some of her followers walinchamba pia.Kweli pesa ni shina la uovu.Mungu wa mbinguni amponye ili ajitwalie utukufu.Amen.
 
Hebu acheni stori za ajabu...Mungu yupo kwa mtu anaeitwa "Mchungaji" tu?
 
Happiness is a strong and bold woman. The kind of women we need today to guide the younger women.

She is not ashamed of her condition. She is showing it to the world and enlightening her fellow women on what she is going through so women can seek treatment as soon as they can.

May God grant her ease.
 
Too sad let God help her to recover earlier as the nation needs her.
 
Back
Top Bottom