PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Ninakwambia hujui usemalo mungu siku moja atakupiga upofu kwasababu unaongea huku unajua ukweli ni nini lakini unajitahidi kupindisha. Huyu mungu mwacheni aitwe mungu. Adhabu utakayoipata hata kama umejificha kwa ID mungu anajua mpaka mawazo yako.

hii chadema ni ya wauaji na mafia.penye chadema pana damu.tuwaogope kama ukoma
 

Bro, sio wanahabari tuu sasa hivi police wanaua kwa namna wanavyojisikia ! Tumefika hapa kwa sababu ya rais dhaifu na legelege. Ndani ya wiki mbili police wameua watu wawili, imeshakuwa kamchezo watumaliza hata kabla ya 2015. Ifike sehemu tuchukue hatua kukemea hali au na sisi wanyonge tuwe tunajihami kwa silaha zetu za jadi
 
Ina tisha kwa kweli!Waandishi wa habari ina bidi waungane ikiwezekana watoe tamko kali dhidi ya huu ukatili wa policcm!
 
Jambo lingine ni kuwa tear gas inauwa hasa ikipigwa karibu kama inavyo onekana. Hapa ni script kutoka chanzo kimoja cha habari kwa kesi kama hii Mashariki ya kati "Mr Tamimi’s injuries occurred amid a fairly common occurrence in the West Bank: protesters were throwing stones at armoured Israeli vehicles. As the demonstration slowed towards the end of the day, one Israeli jeep stopped as it was making its way out of the village. The vehicle’s back door opened wide enough for a tear-gas launcher, known to Israeli soldiers as a “ringo”, to fire a single canister of the gas.

Mr Tamimi, who was standing three metres behind the jeep, was hit directly in the face by the canister. The next morning he was pronounced dead in an Israeli hospital near Tel Aviv."
 
When insanity (CCM) collaborates with stupidity (police) yields chaos & peace become endagered.
 
Too much talking, tukubaliane kwa wanoishi dar tukutane wapi saangapi, na mabango yenye ujumbe gani. Ilimradi kutoa ujumbe si kuongea tu. wamikoani nao wakubaliane hivyohivyo, ikiwezekana tukubaliane siku na muda mmoja nchi nzima.
 
pasco tunategema jamii ijue ukweli kupitia kwenu
tunategemea kupata ukweli wa mauaji haya kama kweli bomu la machozi linauwa vile
na kama kweli bomu hilo lilirushwa na watu wengine
nchi inakoelekea wananchi wamekosa imani na jeshi la polisi
wananchi sasa wanatageuka adui na hao polisi wanaoishi nao mitaani
nadhani waandishi mtasimama wima kuhusu hili
Speechless!

RIP Daudi Mwangosi!.

Pasco.
(Mwana Habari wa JF).
 
Ngozi mbili,
Mwambie bosi wako kuwa wamegundua, na watu wa Iringa wanajua sana kusimulia hasa wakilewa ulanzi sijui mtacover vipi. Yaani mmekuwa vipofu wala hamuoni maana mioyo yenu imejaa udhalimu.
 
R.I.P Daudi Mwangosi, kwahili nataka nione ninyi waandishi mtalalia upande gani maana uzoefu umeonyesha waandishi mnapamba vichwa vya habari kwa unafiki wa watawala nataka nione namna mtakavyolichukulia suala hili la mwandishi mwenzenu.
 
Hawa ccm wauaji wa raia sasa waondoke madarakani mapema,wao ndiyo wanaoleta fujo nchini kwa uchovu na wizi wao.
 
kungoja mpaka 2015 ni maagizo ya misahafu au ni matakwa ya wananchi?
 
Utasikia alipigwa na kitu kilichorushwa kama yule wa moro.
 
Jamani tuwe wakweli ni kweli mwandishi ameuawa tena kikatili,lakini picha ya yule bwana iwe ni yeye au la aliekuwa amesimama dak 20 kabla akiwa amevaa jeans ya blue na yule bwana ikiwa ni mwandishi au la akiwa anapigwa kikatili na amevaa suruali ya khaki ni watu wawili tofauti swali langu kwa nini mpiga picha ameongopa?
 
Hivi we polisi ulieua mwangosi malipo yako toka kwa mwema kwa kazi hiyo ni shilingi ngap??
 
Reactions: Odb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…