Kafara la CDM litolewe na Polisi wa CCM? huu si muda wa mzaha na si sahihi kudhihaki mauaji ya kikatili namna hii. Hivi CCM mmerogwa na nani? Tunasubiri Mwema atuletee CD ya kwamba " Blah ...blah ...blah .... aliuwawa alipojikwaa kwenye kiatu cha polisi!" Shame on you. Hiyo ndoa baina ya CCM na Polisi/Usalama wa Taifa ina mwisho wake na iko siku mtajutia uhalifu mnaowafanyia wanaowalipa mishahara yenu!Aombee asije kuwa kafara la CDM
jEANS au khaki ngozi mbili. Ur not even smart
Ukiangalia mtiririko wa taarifa ni kama CDM wameanza kujitoa mhanga kwa mabomu ya kujilipua wenyewe,hongera Dr Slaa kwa kuendeleza vurugu na kusababisha mauaji.
jamani tuwe wakweli ni kweli mwandishi ameuawa tena kikatili,lakini picha ya yule bwana iwe ni yeye au la aliekuwa amesimama dak 20 kabla akiwa amevaa jeans ya blue na yule bwana ikiwa ni mwandishi au la akiwa anapigwa kikatili na amevaa suruali ya khaki ni watu wawili tofauti swali langu kwa nini mpiga picha ameongopa?
ni sheria gani inavunjwa kwa watu kukusanyika ? hata kama unachuki na CDM simamia ukweli uokoe taifa,hakuna sheria iliyovunjwa kwa kukusanyika,polisi wangepeleka plain cloth wao kuwaangalia wataovunja sheria katika kusanyiko hilo na kuwapeleka mahakamani... tuusimamimie ukweli ndugu tuokoe taifa letu.Sijui elimu yako, ila ukianza na wrong premise(kuvunja sheria) utamaliza na wrong conclusion. Huo mkusanyiko usingekuwepo nani angekwenda kumuuwa Mwangosi nyumbani kwake? Au leo tu ndio hiyo ofisi imenunua mafaili hadi polisi wayachome? Hatuwezi kuwa na nchi isiyofuata sheria, mkitaka nendeni Somalia hakuna serikali.
Ilikuwaje marehemu akabadilisha nguo ndani dakika 20 kama mpiga picha wetu anavyojaribu kutuaminisha?
mkuu acha kupotosha, mwandishi hakuwa amevaa jeans alikuwa amevaa suruali ya kaki akichukua picha ya waliokuwa kwenye lori
kwani d mwangosi wangapi yule mwenye jeans au yule mwenye suruali ya kaki?