PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Uchochezi tu hamna hoja nyie

kweli nimeamini kitu kikiwa hakikuhusu raha kweli wala usikii machungu ya aina yoyote na pole sana mkuu jifunze kufikiria na wale wa dr uli nao kikaango kinawanyemelea siku moja itakuwa hivyo tu..

RIP Eddy Clux n Mwangosi na wote waliouawa na polisi bila hatia..:cry:
 
Ukiangalia mwenzao ni mzima kabisa, ni uigizaji walioufanya, mwoneni jamani, Francis Godwin amesikika akisema eti Huyo askari alisikika akisema afande nimekufaaa, sasa sijui aliyekufa anaongea.

Na picha inajionyesha wazi hii ni hadaa kubwa, ni uigizaji wa kitoto sijui ndio digrii ya kamanda wa polisi aliyosema anayo chadema haiwezi kumshinda. Jamani mlioko Iringa jitahidi mlione Hilo li askari Kama kweli limejeuhiwa, Nina mashaka.
 
Panthetic,real panthetic Mwangosi alijishikilia kwa huyo askari mwenye fimbo obvious kujiokoa lkn jamaa akamlenga ya tumboni,close range ndo maana utumbo umesambataratika
 
Ila najiuliza, hao wananchi waliokuwapo hapo walishindwa kuwapopoa mawe hao askari hadi wakaipata fresh? Chadema ikifanya mkutano tarime jamaa zangu watakuja na silaha za jadi itakuwa massacre!
 
Lazima kulikua na mvutano mzito hapo...

Hata iweje lakin haihalalishi kilichotokea..
 
Ila najiuliza, hao wananchi waliokuwapo hapo walishindwa kuwapopoa mawe hao askari hadi wakaipata fresh? Chadema ikifanya mkutano tarime jamaa zangu watakuja na silaha za jadi itakuwa massacre!


...eeeehhh.!!??
 
Sidhani kama kweli huyu askari uliyemtaja ndiye mhusika, naangalia silaha aliyoshika mkononi si ya moto, inaitwa pump action risasi zake ni zampira, na hutumiwa na askari wa ffu kwa kutawanya watu, aidha madhara yake ni kujeruhi tu, other wise labda kamahuyu askari alitumia gun nyingine
 
poiisi hawakosi la kusema. utasikia, ririkuwa rikishindana na porisi tukarishinda, na huku mwandishi wetu wa habari kaowawa na bomu utadhani sijui ni gaidi gani aliye shindikana.

daaa,kaz kwel kwel nchi hiiiii...!wanyonge wanahukumiwa pale pale hakuna cha maelezo wala nn??ila yale manyang'au yanayofisadi nchi yanapeta mitaaani tu,na cc watz tunachekacheka tu mpaka tutiwe vidole ma***ni??hatujui kuwa"an injury to one is an injury to all???"
 
Mbona magazeti ya leo mengi yameripoti kama ametupiwa bomu? na hayo magazeti nayo yameunga tela ya chama cha mauti? For what I see hapo ni huyo jambazi aliyevaa yunifomu za polisi akimuua mtu ambaye tayari wameshamdhibiti.

Nafikiri it is time sasa tuanze kuwindana huku mtaani kama kuku ndio heshima itarudi. Hii nchi ni yetu sote, hata huyo askari sidhani kama anafaidi lolote ktk keki ya taifa,, huu ujinga wa kutumika kama condom sijui utaisha lini? kama askari hawataki kujirekebisha basi na sisi raia tuanze vitu vyetu!! Hiyo ndio way forward wandugu!!
 
Mine is but a theory...nevertheles this time somebody has to be put to task, somebody has to take responsility and somebody has to pay. I join all those calling for the immediate sacking of the Interior Minister, the Chief of Police down to the Regional Police Commander. The names of all those involved should be made public for that is the only way that will send a message to all those that kill with the pretext of maintaining peace!

I also join others in the call above, though with few doubts: I recall in the incident of Arusha killings jk telling ambassadors that the same incident would not happen again. since then to date we have witnessed killings by police than ever in the Tanzania history. the perpetrators Will be promoted instead. there are good examples for this. action to take is people's power to vigorously act against police killings of innocent civilians.
 
Dah hizi picha zinaonyesha wazi kabisa tukio zima, yaani huyu Askari polisi ni mshenzi na hana akili nzuri. Mungu atawalaani kwa vitendo vyao kama wendawazimu..
 
kama hali ndo hii hatuna serikali tanzania hivi tunasubiri nini kuandamana? Sioni haja ya kuendelea kuwepo polis ccm na serikali yake yooote. Mapinduzi yanahitajika sasa


Kweli kabisa watanzania sasa inabidi tufike mahali tuache kulalamika humu na kuionyesha hii serikali dhaifu ya chama cha mapinduzi kuwa tukiamua tunaweza.
 
.....sielewi hawa Polisi nani aliwaambia kuua!, kama ni akili zao basi Jeshi la Polisi Nchini halinabudi kufutwa. la sivyo wafanye kazi bila kutumia silaha za moto kwani inaonekana hawajui matumizi yake:
P.I😛 Daud Mwangosi
 
Kwa kweli am speechless, ni nini kilikuwa kinatokea hapa? Polisi wakizuia maandamano au? Kwa hiyo ilitokea ghasia mpaka huyo polisi naye akaumia? Litakuwa ni li-'flying object' gani lililomuangukia marehemu mpaka akaharibiwa hivyo jamani?

Eeh Mwenyezi Mungu utunusuru na hali hii.
 
RIP youngman.

happen to know and work with him and his folks. Mjengwa, najua wewe, akina Malembeka, na wanahabari nguli wote hapo hiki ni kipindi kigumu sana kwenu LAKINI I hope hamtanunuliwa kirahisi ili kuziba harakati na hasira zenu kupinga unyama huu. I know Ken, ambaye simuamini kabisa kwa jinsi alivyokuwa ananunuliwa kwa bei rahisi sana na hao mafisadi mabulushi, waarabu na hata akina Lukuvi. Mwenzenu ameuawa kinyama sana, sana na nyie lazima muongoze mapambano haya magumu kuwakomboa wanahabari, wapenda amani na wananchi wa Tanzania kwa nguvu zote. Tunawaangalia na tutawafuatilia kwa karibu (nilitegemea kuona na kusikia mengi kutoka ktk blogu zenu hasa wewe na Francis, lakini as I mentioned earlier ) tunajua jinsi ambavyo chama na serikali inavyowatuliza watu kama nyie..

DM hakustahili kabisa unyama huu... Ohhhh god, msipoangalia sasa watu wataanza na hizo kopta za polisi, ambazo at times zinatumika kubeba familia na ndg wa hao hao tena kwa safari za matanuzi...!
 
ukitizama kwa umakini hiyo picha yenye askari aliyelenga mwandishi ni dhahiri amefyatua hiyo bunduki yake na moshi bado unafuka kutoka kwenye mtutu, hebu jiulize kwa nini amlenge mtu ambaye yuko chini na hana aina yeyote ya silaha na amezungukwa na maaskari? Je ni madhara gani angeweza kufanyia watu ambao wamepitia mafunzo kwa aklili yangu tu siwezi pata jibu la kuniridhisha tofauti na walinzi wa usalama kuwa wauaji
 
At close range kama hiyo risasi za mpira ni very fatal na huua. Nani kakwambia risasi ya mpira haiui? Inaua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…