kaka anamaanisha moshi wa mabomu si wamajani!Vitendo kama hivi ni vya kulaani, PM sijui inatumwaje. Mimi si mvuta bhangi, nilikuwa eneo la tukio na nimeshuhudia kilichotokea.
Ni wazi watataka kupotosha, video ya tukio zima itawekwa YouTube.
Kama waandishi hatutashirikiana katika hili, naachana rasmi na tasnia hii.
Vitendo kama hivi ni vya kulaani, PM sijui inatumwaje. Mimi si mvuta bhangi, nilikuwa eneo la tukio na nimeshuhudia kilichotokea.
Mwaga picha kama zilivyo...unapgwa bani kama hbr ni za kizushi na uchochezi.
Huyo jamaa aliyemwelekezea bunduki ndio aliyefyatua nini.!! Duh!!, hawa jamaa sidhani kama ni watanzania.
Mkuu poleni sana kwa msiba wa mwandishi mwenzenu wa habari, aliopoteza maisha hakiwa kazini inasikitisha sana ni mauaji ya kinyama, mkuu jipangeni kama waandishi habari mlifungulie mashitaka ya mauaji Jeshi la Polisi Iringa, mkuu msitiri marehemu kuhusu baadhi ya picha unazosema inaonyesha sehemu ya uume wake.
Join Date : 18th August 2012
Posts : 35
Rep Power : 310
Likes Received 6
Likes Given 1
Ahsante kaka kwa kunipa mbinu ya kujiumba upya. Nilikuwa naogopa kupigwa ban, sasa siogopi tena!
Halafu wataunda tume kuchunguza na CDM watasema hawana imani na tume iundwe tume huru halafu atauawa mwingine!!