Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293

Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi.
Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana hakuna mchaga anaerudi kwao kizembe lazma awe na chochote kitu bila hivyo ni aibu. Sasa ili kutoa aibu lazma ufanye vitu.

Kama upo
Bukoba
Mbeya
Dom
Lindi n.k tuonenesheni picha za mazingira ya kwenu

Kama upo Moshi ruksa kujazia mapicha kama yote ili kukazia uzi huu
 

Attachments

  • 2648017_Screenshot_20201224-221950_1.jpg
    68.4 KB · Views: 5
Tuache wivu na majungu.
Hao jamaa wa huko North Tz wako vizuri kuanzia life la wazee wao huko village mpaka life lao huku mijini.
Tuache wajivunie, wafurahie na kutupa challenge na sisi wengine tuliokimbia kwetu.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…