My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Fafanua MgfUkabila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua MgfUkabila
Natumia chai yenye sukari ya kufuru tu!Vumilia tuu jombaa, Jack Daniel au Captain Morgan unatumia?
View attachment 1659118migombani huko hadi lami
Huna cha kupiga amaSafi sana ,na mimi nilipokuwa mtoto nilipenda sana kupiga picha vitu ila baada ya kukua nimeacha.
Ha ha ila sasa wamezidisha mzee, the hype ila ni vizuri kwa uchumi wa mkoa na nchi, wanaemda kutoboka huko tena vibaya mno...nadhani huu utamaduni udumishwe kwa makabila yote, December kila mtu arudi kwao tubaki wakimbizi tuu mijiniNafikiri pini za Magu ndo zimeleta yote haya, miaka nenda rudi wachaga wamekuwa wanaenda kwao, ila mwaka huu imekuwa kama ndo kwa mara ya kwanza kwenda.
Geita na Lindi kukosa airport kulisababishwa na wachaga? Suala la shule za mkoloni kwangu mm halina mantiki yoyote. Mwalimu Nyerere alivyoingia madarakani alitaifisha karibia shule zote binafsi na kuhakikisha kila Mtanzania mwenye nia anaweza kusoma. Leo ni miaka 59 tokea ukoloni uishe na shule zote kuwa accessible kwa Watanzania wote.. What happened?Lindi Wana fukwe but Wana international airport?Watalii wanaenda kwao direct?
Geita Wana dhahabu but airport ndo kwanza
Imejengwa juzi huko chato..
Nimesema shule za secondary zaidi ya 200
Alizoacha mkoloni Kilimanjaro..wakati
Tanga zilikua mbili..Lindi sijui moja..
Unachangia bei gani hizo server? Uvivu na wivu umekujaa tu,hutaki changamoto katika maishaIla wachaga ni washamba sana, yaan hii sikukuu ndo imenifumbua macho![emoji848][emoji848]
Nyie endeleeni kujaza server tu
Maxence Melo
Ingependeza sana, soon Magu atatangaza tuHa ha ila sasa wamezidisha mzee, the hype ila ni vizuri kwa uchumi wa mkoa na nchi, wanaemda kutoboka huko tena vibaya mno...nadhani huu utamaduni udumishwe kwa makabila yote, December kila mtu arudi kwao tubaki wakimbizi tuu mijini
Icho kibanda cha nyumbani kwenu mlicho panga matofali ndio unatamba tuliojenga tumetulia mlio panga tofali picha na kelele kibao kunywa mbenge ulale.
Weka ukichojenga kwenu...Icho kibanda cha nyumbani kwenu mlicho panga matofali ndio unatamba tuliojenga tumetulia mlio panga tofali picha na kelele kibao kunywa mbenge ulale.
Huo Ni ushamba. Nahisi utakuwa chini ya umri wa miaka 20.
Haya mambo ya kupiga picha wanafanya watoto wakisafiri njiani
Mfano wametengwa kwenye nini?Ila shemeji zangu ninawakubali. Yaani nimetembea mikoa yote 26 Tanzania mpaka Zanziba yote. Hakuna mkoa kama wa Kilimanjaro na specifically Wilaya za Wachaga. Ndiyo maana wenye wivu wataendelea kujinyonga tu.
Pamoja na kuwa kwa sasa ni kama wametengwa na kusimangwa kwingi lakini hawajakata tamaa. Wao ni kwa MATENDO na maneno yenu tupa kule. Wakimaliza Xmas kuanzia tarehe 26 na kuendelea ni vikao cha maendeleo kwa kila koo ili kujipima walipofanikiwa na walipokwama kwa mwaka mzima uliopita. Wakimaliza vikao cha koo wanafanya vya familia au wengine wanaanza na familia. Hao ndiyo wachaga na hata tuwachukie hatutaweza kuwafikia. By the time tunawafikia wao watakuwa dunia nyingine kabisa. Kuna eneo moja uchagani kwa sasa wanajiwekea lami yao. TARURA wanashirikishwa ipasavyo na wanaitwa kuisimamia tena wanapewa transport allowance. Huko ndiko kwa wachagga.
Mliwaondoa katika madaraka wao hawaliilii bali wanajipanga na kufanya plan B ndiyo maana hata wakistaafu huwa wanaendelea vizuri na maisha yao bila stress tu. Hawa ni kuwapenda tu maana kuwachukia haisaidii KABISA.
View attachment 1659093View attachment 1659096
Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi.
Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana hakuna mchaga anaerudi kwao kizembe lazma awe na chochote kitu bila hivyo ni aibu. Sasa ili kutoa aibu lazma ufanye vitu.
Kama upo
Bukoba
Mbeya
Dom
Lindi n.k tuonenesheni picha za mazingira ya kwenu
Kama upo Moshi ruksa kujazia mapicha kama yote ili kukazia uzi huu
luambo makiadi njoo mjibu huyu kijanaWachaga wanafikri bado wanaishi miaka ya 1960.
Sasa hivi kila kona inabadirika na hatimae kila mkoa utafikia hatua kama hizo.
Sasa hivi makabila yote yanasoma, na kufanya biashara, kila mtu kajanjaruka hakuna fursa itampita tofauti na zamani kwa kuwa wachaga waliwahi kujanjaruka basi kila fursa walikuwa wanakamata wao.
Sasa hivi ikitangazwa nafasi ya ajira mchaga hatumi kimemo kwa mjomba ake tena bali anaenda kwenye interview ambayo anaenda kukutana na watu wa makabila yote wenye expirience kama yake na kazi anapata aliefaulu interviews vizuri.
Sasa wachaga wakiona hivyo wanapata hasira wanafikiri Magu ni mkabila ana wabania[emoji23][emoji23][emoji23]
Sikieni! Ni hali imebadirika fursa inaonwa na kila kabila sasa hivi, so msijifanye kuonewa na mkiendelea na hii mentality yenu ya miaka ya 60 mtalia sana.