My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache wivu na majungu.
Hao jamaa wa huko North Tz wako vizuri kuanzia life la wazee wao huko village mpaka life lao huku mijini.
Tuache wajivunie, wafurahie na kutupa challenge na sisi wengine tuliokimbia kwetu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Vumilia tuu jombaa, Jack Daniel au Captain Morgan unatumia?Waombeni mods wastick uzi wenu mpost fujo zenu zote huko.
Jukwaa hili limejaa nyuzi zenu halafu hamna habari wala hoja mpya.
Wengine wana fukwe ndefu kuliko.. Wengine wana mito na bahari.. Wengine wana mbuga za wanyama.. Wengine wana ardhi maelfu kwa maelfu ya ekari… wengine wana visiwa vya karafuu… wengine wana vito na wese ardhini… surely mlima Kilimanjaro si kitu si lolote linapokuja suala la maendeleoWala sio wivu
Wanajistukia..
Wakoloni walijenga shule za secondary zaidi
Ya 200 .huko Kilimanjaro
Tanganyika inapata uhuru wao wametangulia
Kielimu na kiuchumi..
Wao kuwazidi wengine ni kitu expected.
Why wanatumia nguvu kubwa Ku brag?
Wao Kwa sababu ya mlima Kilimanjaro wanapata watalii hadi vijijini..ni advantage
Kiuchumi..
Why iwe ajabu wao kupiga hatua?
Au wanaona wengine wanakuja juu ndo
Wanatafuta hizi sifa za kijinga??
Nina jamaa zangu wachaga walishapigika mbaya sana hawana hata nauli ya kurudi home wamekua mateja wa pombe. Hatukatai kuwa kuna maendeleo ila sasa hii kasumba ya kutaka kutuaminisha kila mchaga ana hela ni ufamba.Tuache wivu na majungu.
Hao jamaa wa huko North Tz wako vizuri kuanzia life la wazee wao huko village mpaka life lao huku mijini.
Tuache wajivunie, wafurahie na kutupa challenge na sisi wengine tuliokimbia kwetu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mkuu acha hasira huu mchezo hauitaji msuli.Nina jamaa zangu wachaga walishapigika mbaya sana hawana hata nauli ya kurudi home wamekua mateja wa pombe. Hatukatai kuwa kuna maendeleo ila sasa hii kasumba ya kutaka kutuaminisha kila mchaga ana hela ni ufamba.
Matajiri mtaishi kama mashetaniView attachment 1659118migombani huko hadi lami
Hujaenda Paris wewe, ukifika kule lazima utapiga picha ule mnara mrefuSafi sana ,na mimi nilipokuwa mtoto nilipenda sana kupiga picha vitu ila baada ya kukua nimeacha.
Wala sio wivu
Wanajistukia..
Wakoloni walijenga shule za secondary zaidi
Ya 200 .huko Kilimanjaro
Tanganyika inapata uhuru wao wametangulia
Kielimu na kiuchumi..
Wao kuwazidi wengine ni kitu expected.
Why wanatumia nguvu kubwa Ku brag?
Wao Kwa sababu ya mlima Kilimanjaro wanapata watalii hadi vijijini..ni advantage
Kiuchumi..
Why iwe ajabu wao kupiga hatua?
Au wanaona wengine wanakuja juu ndo
Wanatafuta hizi sifa za kijinga??
Lindi Wana fukwe but Wana international airport?Watalii wanaenda kwao direct?Wengine wana fukwe ndefu kuliko.. Wengine wana mito na bahari.. Wengine wana mbuga za wanyama.. Wengine wana ardhi maelfu kwa maelfu ya ekari… wengine wana visiwa vya karafuu… wengine wana vito na wese ardhini… surely mlima Kilimanjaro si kitu si lolote linapokuja suala la maendeleo
...👊👊👊..Tuache wivu na majungu.
Hao jamaa wa huko North Tz wako vizuri kuanzia life la wazee wao huko village mpaka life lao huku mijini.
Tuache wajivunie, wafurahie na kutupa challenge na sisi wengine tuliokimbia kwetu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Sasa naanzaje kumuonea hasira/wivu mtu ambae simjui? Mi kwenye swala la maendeleo hua naangalia at individual level manake hata kama kuna lami hadi shamban but if still kama mtu mmoja mmoja hawez kupata mahitaj yake naona ni bure tu.Mkuu acha hasira huu mchezo hauitaji msuli.
Huu uzi unawafanya 'haters' wateseke.Mkuu acha hasira huu mchezo hauitaji msuli.