The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Unafeli sana mzee, wachaga wanaenda kwenye viwanda sasa hivi, consultancy services n.k hawa deal na retail businesses tena, hawa ni wasomi, sijui kama unajua bond and stocks, cryptocurrency and the like...jidanganyeni hapo kariakoo sogea pwani angalia wamiliki wa viwanda, they are taking over kwa waturuki n.kWachaga wanafikri bado wanaishi miaka ya 1960.
Sasa hivi kila kona inabadirika na hatimae kila mkoa utafikia hatua kama hizo.
Sasa hivi makabila yote yanasoma, na kufanya biashara, kila mtu kajanjaruka hakuna fursa itampita tofauti na zamani kwa kuwa wachaga waliwahi kujanjaruka basi kila fursa walikuwa wanakamata wao.
Sasa hivi ikitangazwa nafasi ya ajira mchaga hatumi kimemo kwa mjomba ake tena bali anaenda kwenye interview ambayo anaenda kukutana na watu wa makabila yote wenye expirience kama yake na kazi anapata aliefaulu interviews vizuri.
Sasa wachaga wakiona hivyo wanapata hasira wanafikiri Magu ni mkabila ana wabania[emoji23][emoji23][emoji23]
Sikieni! Ni hali imebadirika fursa inaonwa na kila kabila sasa hivi, so msijifanye kuonewa na mkiendelea na hii mentality yenu ya miaka ya 60 mtalia sana.