Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Wala sio wivu
Wanajistukia..
Wakoloni walijenga shule za secondary zaidi
Ya 200 .huko Kilimanjaro
Tanganyika inapata uhuru wao wametangulia
Kielimu na kiuchumi..
Wao kuwazidi wengine ni kitu expected.
Why wanatumia nguvu kubwa Ku brag?
Wao Kwa sababu ya mlima Kilimanjaro wanapata watalii hadi vijijini..ni advantage
Kiuchumi..
Why iwe ajabu wao kupiga hatua?

Au wanaona wengine wanakuja juu ndo
Wanatafuta hizi sifa za kijinga??

Huu ndio usukuma sasa. Hakuna shule ya mkoloni uchagani zote ni za wananchi kabila takatifu wachaga. Zilijengwa kupitia KNCU hata barabara zetu tulijenga wenyewe. Nyamaza.
Uchaga ilishakua state tangu ukoloni.

Wakati nyie mnakimbizana na ng’ombe sisi tu naingia darasani. Wengine wanacheza chagulaga.
Wakati wahaya wanatusambazia UKIMWI sisi tuko vyuo vikuu tunakaba fani.
Wengine wanacheza sangula mdundiko na kunywa ulanzi sisi tumefika kwao kuweka maduka na kuwafundisha biashara.
Hahaha usicheze na taifa takatifu kaa chini.
Ukitaka kuendelea attach na mchaga vinginevyo endelea kupiga domo
WACHAGA HOYEE
KILIMANJARO SAAAFIIIIII. Magufuli hovyoooooo.
 
Nimesema shule za secondary zaidi ya 200
Alizoacha mkoloni Kilimanjaro..
Hizo shule hazikuachwa na wakoloni.
Soma hii historia ya Moshi ufunguke macho zaidi kuhusu wachagga. (mwandishi hajulikani)

HISTORIA YA MJI WA MOSHI. Chimbuko la mji wa Moshi ni eneo la Old-Moshi, kijiji cha Tsudunyi. Huko ndipo palikuwa pakiitwa "Moshi" zamani. Wageni mbalimbali walipoanza kuingia Afrika, hasa kaskazini mwa Tanganyika walikuta uchaggani kuna tawala nyingi. Wamachame walikua na utawala wao na kiongozi wao, Kibosho, Moshi, Marangu, na Rombo vivyo hivyo. Dola ya wachagga haikua moja, kila eneo lilikua na utawala wake uliojitegemea. Lakini katikati ya karne ya 20 Wachagga walikubaliana kuunda "federal government" iliyounganisha tawala zote za wachagga na kuongozwa na Mangi Mkuu. Hata hivyo Wamangi wengine waliendelea kuwa na nguvu kwenye maeneo yao ya utawala lakini wakiripoti kwa Mangi mkuu. Kabla ya karne ya 20 kila utawala ulikua unajitegemea. Kufikia mwaka 1880 kati ya tawala zote zilizokuwepo uchaggani, dola ya Moshi ilikua na nguvu zaidi. Ilikua na mji mkubwa wa kibiashara, jeshi imara na sarafu yake. Katika tawala za Afrika Mashariki dola ya Moshi na himaya ya Zanzibar ndizo za kwanza kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia kabla hata ya ujio wa wakoloni. Kulikuwepo na mwakilishi wa Zanzibar kule Moshi na wa Moshi alikuwepo Zanzibar. Hawa tungewaita mabalozi kwa nyakati za leo. Dola hii ya Moshi iliongozwa na Mangi Rindi Mandara (The Great Mandara), na wakati wa utawala wake yeye ndiye alikua Mangi mwenye nguvu zaidi uchaggani. Wajerumani walipokuja aliwapokea na wakaunda urafiki na mahusiano ya kidiplomasia na kibiashara. Mwaka 1890 Gavana wa Ujerumani jimbo la kaskazini mwa Tanganyika (Nothern Provience) Karl Peters alijenga makao makuu ya utawala wake pamoja na kituo cha kijeshi (military camp) Moshi eneo la Tsudunyi. Baada ya Mangi Mandara kufariki, mtoto wake Mangi Meli alirithi nafasi yake. Lakini Wajerumani walibadilika na kuanza kuwa wababe. Wakatumia majeshi yao kuitawala Moshi kwa nguvu. Hata hivyo Mangi Meli alikuwa jeuri na hakutaka kuwa Chini Ya Utawala wa Wajerumani. Kukaibuka mgogoro mkubwa kati ya Wajerumani na utawala wa Mangi Meli. Kufuatia hali hiyo Wajerumani wakaamua kuimarisha mahusiano na Mangi Ndegoruo Marealle wa Marangu (devide and rule method). Uhusiano wao ukawa mzuri kiasi cha Mangi Marealle kumzawadia Karl Peters binti yake aliyekua mrembo sana aitwaye Ndekocha Marealle kuwa mkewe. Kutokana na urafiki huo Karl Peters alihamisha Ofisi za Utawala wake kutoka Moshi eneo la Tsudunyi kwenda Marangu eneo la Lyamrakana mwaka 1892. Baadae Karl Peters aliondoka na nafasi yake kurithiwa na Von Bulow. Gavana huyu mpya wa Kijerumani aliingia tena kwenye mzozo na Mangi Meli wa Moshi, baada ya kulazimisha kurudisha ofisi za Gavana katika mji wa Moshi eneo la Tsudunyi kutoka Marangu zilikohamishiwa na Karl Peters. Von Bulow aliamua kuivamia Moshi kupambana na Mangi Meli. Alikusanya majeshi yake pamoja na Askari mamluki wa Kinubi Kutoka Sudani tayari kwa vita na majeshi ya Mangi Meli. Mwezi June mwaka 1892 waliivamia Moshi na mapigano yakaanza. Lakini Jeshi la Mangi Meli lililojumuisha Askari Kutoka Moshi, Uru na Kilema walijibu mapigo na kuua askari wengi wa Von Bulow. Jeshi lake lilipozidiwa Von Bulow alikimbia lakini alitafutwa na kupatikana amejificha huko Kahe. Alikamatwa na kuuawa. Kufuatia hali hiyo Wajerumani walisitisha shughuli zao zote eneo la Moshi kwa kipindi cha mwaka mmoja. Mwaka 1893 mwishoni wakiwa na silaha imara zaidi waliivamia tena dola ya Moshi na kupambana na majeshi ya Mangi Meli. Waliingia Moshi usiku kwa kushtukiza na kuanza kushambulia ngome ya Mangi Meli. Vita ilipiganwa kwa muda wa siku mbili na askari wa Mangi Meli walizidiwa na kuamua kujisalimisha. Baada ya vita akateuliwa Gavana mpya wa Kijerumani aitwaye Kapteni Johannes. Huyu aliamua kurudisha ofisi za utawala wake pamoja na kituo cha Kijeshi Moshi eneo la Tsudunyi kutokea Marangu zilikopelekwa. Lengo ni kudhibiti dola ya Moshi ambayo ilionekana "resistant" sana kuliko tawala nyingine maeneo ya Kaskazini mwa Tanganyika. Kwahiyo ofisi za Gavana na ngome ya Jeshi vikarudishwa tena Tsudunyi mwaka 1893. Huduma nyingine za kijamii zikaongezwa kama shule na mahakama. Kanisa, kituo cha afya na kiwanda cha uchapishaji vikajengwa eneo la Kidia juu kidogo ya Tsudunyi ulipokua mji. Mwaka 1912 Wajerumani wakawa wanajenga reli ya Kaskazini kipande cha kutoka Tanga hadi Moshi. Lakini kutokana na jiografia ya milima reli hiyo ilishindwa kufika mjini yani eneo la Tsudunyi. Kwahiyo wakashauriana kuhamisha mji na kuujenga eneo ambalo ni Tambarare kidogo. Reli hiyo ikaelekezwa maeneo ya tambarare ambayo yalikua mapori na mashamba. Sehemu kubwa ya mashamba hayo yalikua upande wa Uru na Kibosho. Baada ya reli kufika hapo mapori hayo yajafyekwa na kukajengwa kituo cha treni, maduka, posta na huduma nyingine za kijamii na hivyo mji ukaanza kuchipuka polepole. Kwa miaka 7 Wajerumani walijaribu kuujenga mji huo ili waweze kuhamisha huduma kule milimali na kuzileta maeneo hayo ya tambarare. Kufikia mwaka 1919 wakahamisha ofisi ya Gavana, Mahakama, na Kanisa kuu (Cathedral) ambalo lilikua Kidia na kuhamishiwa kwenye mji huo mpya. Mji huo ukapewa jina New Moshi, na ule kule milimani ukaitwa Old Moshi. Kwahiyo Old Moshi kabla ya mwaka 1919 ilikua ikiitwa Moshi. Jina Old Moshi lilianza mwaka 1919 ili kutofautisha na New Moshi. Hata hivyo jina la "New Moshi" lilikufa na kuitwa tu Moshi Mpaka leo, japo Moshi halisi imeendelea kuitwa Old Moshi mpaka leo. NB: Majengo yaliyokuwa Ofisi za Utawala wa Kijerumani kule Moshi (sasa Old Moshi) yametumika kama shule ya sekondari Old Moshi, baadae shule ya Sekondari Kolila na sasa ni Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. NB.Nimeikuta sehemu nikaona ni shee na humu
 
Jamaa yule wa bukoba anakwama wapi,tunasubiri zile picha zake za siku zote za bk,katerero n.k
 
Huu ndio usukuma sasa. Hakuna shule ya mkoloni uchagani zote ni za wananchi kabila takatifu wachaga. Zilijengwa kupitia KNCU hata barabara zetu tulijenga wenyewe. Nyamaza.
Uchaga ilishakua state tangu ukoloni.

Wakati nyie mnakimbizana na ng’ombe sisi tu naingia darasani. Wengine wanacheza chagulaga.
Wakati wahaya wanatusambazia UKIMWI sisi tuko vyuo vikuu tunakaba fani.
Wengine wanacheza sangula mdundiko na kunywa ulanzi sisi tumefika kwao kuweka maduka na kuwafundisha biashara.
Hahaha usicheze na taifa takatifu kaa chini.
Ukitaka kuendelea attach na mchaga vinginevyo endelea kupiga domo
WACHAGA HOYEE
KILIMANJARO SAAAFIIIIII. Magufuli hovyoooooo.
Acha ushamba nyie, alafu muwe mnatembea hivo vinyumba huku kwa wahaya vimejaa kila kona hapo hamna jipya labda muwatambie wasukuma na waha
Screenshot_2019-02-11-12-40-21.jpeg
 
Bado hujaweka zote mkuu,huwa ni zile zile tunazifahamu,usisahau na picha za stend pamoja na soko kuu la bk,huko kanyigo hatuna shida saana
Hata nyie hapo hamjaweka picha za moshi mjini mmeweka za vijijini kwa babu zenu sasa soko na stendi vimetoka wapi mkuu au presha nn, bk hatuna nyumba za tembe ndugu yangu tembea uone
 
Bado hujaweka zote mkuu,huwa ni zile zile tunazifahamu,usisahau na picha za stend pamoja na soko kuu la bk,huko kanyigo hatuna shida saana
Mzee stendi ya bukoba ipo inaendelea kujengwa kyakairabwa.

Soon Ile ya Kati inahamishiwa huko. Sijui sasa utasema nini

FB_IMG_16073431900780233.jpg


Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom