shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,693
- 1,432
h
hate speach si inajionyesha mkuu...Wala sio wivu
Wanajistukia..
Wakoloni walijenga shule za secondary zaidi
Ya 200 .huko Kilimanjaro
Tanganyika inapata uhuru wao wametangulia
Kielimu na kiuchumi..
Wao kuwazidi wengine ni kitu expected.
Why wanatumia nguvu kubwa Ku brag?
Wao Kwa sababu ya mlima Kilimanjaro wanapata watalii hadi vijijini..ni advantage
Kiuchumi..
Why iwe ajabu wao kupiga hatua?
Au wanaona wengine wanakuja juu ndo
Wanatafuta hizi sifa za kijinga??