Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

h
Wala sio wivu
Wanajistukia..
Wakoloni walijenga shule za secondary zaidi
Ya 200 .huko Kilimanjaro
Tanganyika inapata uhuru wao wametangulia
Kielimu na kiuchumi..
Wao kuwazidi wengine ni kitu expected.
Why wanatumia nguvu kubwa Ku brag?
Wao Kwa sababu ya mlima Kilimanjaro wanapata watalii hadi vijijini..ni advantage
Kiuchumi..
Why iwe ajabu wao kupiga hatua?

Au wanaona wengine wanakuja juu ndo
Wanatafuta hizi sifa za kijinga??
hate speach si inajionyesha mkuu...
 
Lindi Wana fukwe but Wana international airport?Watalii wanaenda kwao direct?

Geita Wana dhahabu but airport ndo kwanza
Imejengwa juzi huko chato..

Nimesema shule za secondary zaidi ya 200
Alizoacha mkoloni Kilimanjaro..wakati
Tanga zilikua mbili..Lindi sijui moja..
siku hizi elimu sio mali kitu na wengi hazijawasaidia zaidi ya hasira ya kutafuta hela
 
Wachaga wanafikri bado wanaishi miaka ya 1960.

Sasa hivi kila kona inabadirika na hatimae kila mkoa utafikia hatua kama hizo.

Sasa hivi makabila yote yanasoma, na kufanya biashara, kila mtu kajanjaruka hakuna fursa itampita tofauti na zamani kwa kuwa wachaga waliwahi kujanjaruka basi kila fursa walikuwa wanakamata wao.

Sasa hivi ikitangazwa nafasi ya ajira mchaga hatumi kimemo kwa mjomba ake tena bali anaenda kwenye interview ambayo anaenda kukutana na watu wa makabila yote wenye expirience kama yake na kazi anapata aliefaulu interviews vizuri.
Sasa wachaga wakiona hivyo wanapata hasira wanafikiri Magu ni mkabila ana wabania[emoji23][emoji23][emoji23]

Sikieni! Ni hali imebadirika fursa inaonwa na kila kabila sasa hivi, so msijifanye kuonewa na mkiendelea na hii mentality yenu ya miaka ya 60 mtalia sana.
haina uhusiano na post..tuma picha hayo ni mawazo yako asilimiakubwa wala hawapokwenye ajira....
 
Mwish wa siku yote ni furaha tu hakuna haja ya kutukanana wala kusemana vibaya ingekuwa hivyo wangetukanana Luambo na Instabul amabo wao kila siku wako ktk hizi battle za utani wa Mhaya na Mchagga naona kama vile some mnachukuliiiia siriaz kiviiiiile.... hii kupeleka muda mbele uende sikukuu zipite turudi ktk majukumu yetu ya kila siku....
Wala siyo kuendeleza ukabila wala kushushana chini dignity zetu kwa kufuata makabila .........yote kwa yote ni utani tu ambao kila siku upo........tusichukulie siriaz saaaaaaaaaan
Easy Sunday
 
60119119_356499844985758_1954836072508686336_n.jpg

Hapa ni kwa kipenzi cha watanzania mzee Mengi.

Wahaya naombeni mlipe kwa Rugemalira. Sidhani kama ana nyumba huko uhayani kama anayo leteni picha
 
Back
Top Bottom