Kwa hiyo mchaga kusifiwa inakuuma? Endeleeni kupambana wahaya huenda mwaka 2100 ikawa zamu yenuMimi mwenyew nawashangaa Sana.watu wanaosifia makabila ya watu wakati ya kwao yapo.
Ukiingia kwenye nyuzi za kusifia wachaga . Watu wa bukoba ( wahaya) na kidogo sukuma ndo pekee hubishana na kuwachallenge wachaga but wengine wote hubaki kusifia sifia Tu kama vile ni miungu vile.
Mbona tz kuna makabila mengi Tu yamepiga hatua na baadhi yapo vzr Tu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Tangu lini mhaya kamuweza mchaga, labda kwenye elimu tu na idadi ya maprofesa bas, maendeleo mtayasikikia Kilimanjaro tuSitaki ujinga Mimi.
Ukijiona Bora Sana kuliko binadamu wengine utashushwa Tu[emoji3]
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Siyo kweli. Mchina alitanguliwa na watu kibao wa Europe, wote kawapita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnavyopenda kupewa sifa za kijinga sasa.Kwa hiyo mchaga kusifiwa inakuuma? Endeleeni kupambana wahaya huenda mwaka 2100 ikawa zamu yenu
Siku hiz mikoa mingi Tu imepiga hatua maendeleo yako popote hapa bongo.Tangu lini mhaya kamuweza mchaga, labda kwenye elimu tu na idadi ya maprofesa bas, maendeleo mtayasikikia Kilimanjaro tu
Tulia ww mnyaturu hujaenda singidani ukavune karanga!Ila wachaga ni washamba sana, yaan hii sikukuu ndo imenifumbua macho![emoji848][emoji848]
Nyie endeleeni kujaza server tu
Maxence Melo
Lushoto na TukuyuMmmmh, una wa over rate mnooo!
By the way, maeneo mengi hapa nchini kwa sasa hayapishani sana. Tuchukue mfano kuanzia Mafinga, Makambako hadi Njombe(ingawa kwa sasa ni mikoa miwili), kisha tuchukue Same, Mwanga, Moshi DC, Rombo na Machame/Hai, je kuna nini cha maana kinapishana?
Tuchukue Geita, Katoro hadi Sengerema kisha ufananishe na Moshi, tofauti ya kibiashara na uchangamfu wa miji(kwa sasa, naweza kusema ni HAKUNA, zamani wakati watu wapo gizani sawa)
Kibosho hii sio? KirimaView attachment 1659118migombani huko hadi lami
Nlikujaga kikazi huko nikaondoka na mtto mzur, mpka leo nko nae! Nlipapenda sana! Umenkumbusha maeneo yangu Kwa chambo, Ngirini, Masoka, Usagara, KncuNdio
Tatizo umejifungia huko kishumundu umekalili hujui dunia inaendajeTangu lini mhaya kamuweza mchaga, labda kwenye elimu tu na idadi ya maprofesa bas, maendeleo mtayasikikia Kilimanjaro tu
Umenimiss?Aiseee
Ndio mashindano makali mnoKwani kuna mashindano ya tunakotoka?
Mkuu hawa jamaa washamba sana na hawajatembea kokote, siku wakibahatika kufika uhayani wataacha huu utotoSiku hiz mikoa mingi Tu imepiga hatua maendeleo yako popote hapa bongo.
Kuna mikoa iko vzr Sana ndo maana mnakimbia kwenu na kwenda kwenye mikoa ya watu.
Halafu wahaya mnawajua kwenye elimu Tu. Kuna wafanyabiashara wakubwa Sana wa kihaya tena kuzidi wachaga sema mmekalili Tu.
Halafu moshi huko vijijini hakuna cha zaidi unachoweza kusema kwenye wilaya za wahaya hakipo mfano muleba wilaya ni ya pili nchini kwa shule tz na pia ina hospital tano. Na ina barabara za lami mpaka vijijini huko kamachumu rubya nshamba nk
Bado wilaya kama misenyi watu wanalima Sana vanilla na wanatajirika kila siku
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Afu niko kwenu hukuUmenimiss?
WapiAfu niko kwenu huku
MZAWapi
Ahaaa karibu sana
Ndugu yangu jiongeze usiangalie sifa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnavyopenda kupewa sifa za kijinga sasa.
Kijana hebu Fanya utafiti kuhusu kabila la wahaya na maendeleo yake utaona kabila lako si kitu kabisa.
Tukianzia hapa. Yaan miji na majiji yote yaliyopo tz route za ndege wameona waongeze bukoba Tu. Tena moja kwa moja? Kuliko nyie mpaka mpite Zanzibar ambako nako mnabebwa na watalii. Na tena mnakosa magari mpaka mnapanda daladala za buza?
View attachment 1659963
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mkuu heb njoo migombani Kil utasahau kwenu. Tofauti ya mchaga na mhaya ni mchaga anafanya na anajua mhaya maneno mengi sana lakini vitendo ni 0Mkuu hawa jamaa washamba sana na hawajatembea kokote, siku wakibahatika kufika uhayani wataacha huu utoto