Siku hiz mikoa mingi Tu imepiga hatua maendeleo yako popote hapa bongo.
Kuna mikoa iko vzr Sana ndo maana mnakimbia kwenu na kwenda kwenye mikoa ya watu.
Halafu wahaya mnawajua kwenye elimu Tu. Kuna wafanyabiashara wakubwa Sana wa kihaya tena kuzidi wachaga sema mmekalili Tu.
Halafu moshi huko vijijini hakuna cha zaidi unachoweza kusema kwenye wilaya za wahaya hakipo mfano muleba wilaya ni ya pili nchini kwa shule tz na pia ina hospital tano. Na ina barabara za lami mpaka vijijini huko kamachumu rubya nshamba nk
Bado wilaya kama misenyi watu wanalima Sana vanilla na wanatajirika kila siku
Sent from my Nokia 1 using
JamiiForums mobile app