Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

h
hate speach si inajionyesha mkuu...
 
siku hizi elimu sio mali kitu na wengi hazijawasaidia zaidi ya hasira ya kutafuta hela
 
haina uhusiano na post..tuma picha hayo ni mawazo yako asilimiakubwa wala hawapokwenye ajira....
 
Mwish wa siku yote ni furaha tu hakuna haja ya kutukanana wala kusemana vibaya ingekuwa hivyo wangetukanana Luambo na Instabul amabo wao kila siku wako ktk hizi battle za utani wa Mhaya na Mchagga naona kama vile some mnachukuliiiia siriaz kiviiiiile.... hii kupeleka muda mbele uende sikukuu zipite turudi ktk majukumu yetu ya kila siku....
Wala siyo kuendeleza ukabila wala kushushana chini dignity zetu kwa kufuata makabila .........yote kwa yote ni utani tu ambao kila siku upo........tusichukulie siriaz saaaaaaaaaan
Easy Sunday
 

Hapa ni kwa kipenzi cha watanzania mzee Mengi.

Wahaya naombeni mlipe kwa Rugemalira. Sidhani kama ana nyumba huko uhayani kama anayo leteni picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…