Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Kuna tatizo moja ambalo maskini huwa wanabeza mafanikio ya tajiri au wajinga darasani hua pia wanabeza mafanikio ya yule anayeongoza darasani.
 
Safi sana ,na mimi nilipokuwa mtoto nilipenda sana kupiga picha vitu ila baada ya kukua nimeacha.

Na lami mnaweka wenyewe? au ndo mambo ya mramba?

Icho kibanda cha nyumbani kwenu mlicho panga matofali ndio unatamba tuliojenga tumetulia mlio panga tofali picha na kelele kibao kunywa mbenge ulale.

Ila wachaga ni washamba sana, yaan hii sikukuu ndo imenifumbua macho![emoji848][emoji848]

Nyie endeleeni kujaza server tu


Maxence Melo

Waombeni mods wastick uzi wenu mpost fujo zenu zote huko.
Jukwaa hili limejaa nyuzi zenu halafu hamna habari wala hoja mpya.
Teh teh teh watu wana hasira za Bure tu hawataki kukubali

Mimi sio mchaga ila challenge zao nazikubali na kila muhangaikaji mjini lazima awe anashindana na wachaga kujipima

Wako mbali sana hawa na ndio wametengeneza viwango(Kwenye sayansi inaitwa SI unit) utake usitake
 

Ahsante...
 
The best thing is to add you in my ignore list
 

Tumeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kama wasukuma tunaongoza nchi sasaa[emoji1531][emoji28]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zogwale hana hamu leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…