The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Kuna tatizo moja ambalo maskini huwa wanabeza mafanikio ya tajiri au wajinga darasani hua pia wanabeza mafanikio ya yule anayeongoza darasani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache wivu na majungu.
Hao jamaa wa huko North Tz wako vizuri kuanzia life la wazee wao huko village mpaka life lao huku mijini.
Tuache wajivunie, wafurahie na kutupa challenge na sisi wengine tuliokimbia kwetu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Safi sana ,na mimi nilipokuwa mtoto nilipenda sana kupiga picha vitu ila baada ya kukua nimeacha.
Na lami mnaweka wenyewe? au ndo mambo ya mramba?
Icho kibanda cha nyumbani kwenu mlicho panga matofali ndio unatamba tuliojenga tumetulia mlio panga tofali picha na kelele kibao kunywa mbenge ulale.
Ila wachaga ni washamba sana, yaan hii sikukuu ndo imenifumbua macho![emoji848][emoji848]
Nyie endeleeni kujaza server tu
Maxence Melo
Teh teh teh watu wana hasira za Bure tu hawataki kukubaliWaombeni mods wastick uzi wenu mpost fujo zenu zote huko.
Jukwaa hili limejaa nyuzi zenu halafu hamna habari wala hoja mpya.
Teh teh teh watu wana hasira za Bure tu hawataki kukubali
Mimi sio mchaga ila challenge zao nazikubali na kila muhangaikaji mjini lazima awe anashindana na wachaga kujipima
Wako mbali sana hawa na ndio wametengeneza viwango(Kwenye sayansi inaitwa SI unit) utake usitake
Njoo Sunset mkuuKaribu sana kamanda, mi Niko hapa machame mfoni, njoo unywe mbege
The best thing is to add you in my ignore listHoja ya ukabila au ukanda sio valid hapa....
Hao hao wa kwenu watadai "umewabagua" kwa kuchukua demu wa mbali
Na pia demu wa mbali ukimuacha ukaoa wa kwenu,watakuita na wewe mbaguzi
Ishu yangu hapa,hii hoja ya "ubaguzi" unayotaka kujikinga nayo haina applications yeyote!
Ishu ni walao kutoa upendeleo kwa wa unakotoka kwanza ,ukikosa ndio uchukue pengine
Ishu ya kusema kuheshimu Wachagga ,wewe hueshimu,unalamba matako kabisa unakula na mavi....Heshimu kwenu kwanza ndio uheshimu Wachagga thereafter...Wewe unaenda kinyume chake
Jamii zingine hazipo stationary na zenyewe zina improve over time,zinakusanya wealth na zinakua na surplus as time goes on,na pia elimu wana improve miaka inavyokwenda
The gap between makabila TZ kimaendelo yanazidi kupunguzwa miaka inavyozidi kwenda
Fun fact ni kwamba,mimi Mchagga,ila unayoonesha hapa mpaka nimeona aibu mimi,such a low shit showing unayofanya!Jamii yako itakua ina feel ashamed na wewe
Si kweli
Umewapenda baada ya kusikia sifa zao...Huu uongo unaonidanganya hapa eti ni "upendo" ni pure nonsense,hakuna mtoto mdogo hapa.
Ulitoa nafasi kwa wa kwenu kwanza?Hukutoa......
Wewe kwavile upo overwhelmed na sifa za Wachagga of which nyingi naona ni uongo ukaona directly hawa hawa wananifaa
Na wewe kua na maendeleo pamoja na familia yako ni selfish move maana huoni kabila zima uliloliacha nyuma ambalo ni limechoka vibaya mno na lilikua linakutegemea wewe ukakimbilia uzunguni kwa Wachagga ili ujiokoe wewe na hicho kifamilia chako?
Na pia sio wewe na ndugu zako WOTE..sio WOTE eti mna maisha mazuri...ni wewe na mke wako na watoto tu...hakuna zaidi ya hapo eti wana maisha mazuri yaliyotokea baada ya kuona "Wachagga"...
Shida ni kwamba una claim maisha yako na ndugu zako WOTE wana maisha mazuri sasa baada eti ya wewe kuoa "Mchagga",inaonesha kumbe wewe ni mkabila wa ajabu.kwamba bila huyo mwanamke wa Kichagga basi makabila mengine ni sifuri?
Inaonesha ulivyo na self esteem na origin yako na watu wako kwamba hawana uwezo wa kufanikiwa mpaka "waoe" Wachagga kama unakenua mimeno hapa..
Hii ni very very dangerous way of thinking and your ancestors are turning in their graves!
Still unaonesha how weak all of you are!
Inaonesha msingeweza kua na maisha imara bila kuoa hawa wanadamu ambao infact ni wanadamu kama nyie na mna akili kama wao with everything...
Hii ndio tunaita Master Worshipping Syndrome...
Yaani dream ya mafanikio kwenu ni mpaka UOE Mchagga?
Kwahiyo Wachagga kwenu ni saviors?Msingeoa Wachagga msingeweza kuishi na kufanikiwa kama wanadamu?
Ndio maana hawa Wachagga wanawadharau sana aisee..still hii mentality ni ya hovyo sana
Mnaonekana nyie ni matumwa ya Wachagga....Sijui unafundisha nini watoto wako?
Mpaka karne hii,mentality ya kufanikiwa kimaisha ni mpaka UOE kabila fulani lililoendelea?
Yaani upo chini kiwango hiki?Yaani marriage kwako ndio tiketi ya kufanikiwa maishani?
Ndio unafundisha wanao huu ujinga?
Ndio maana mnatemewaga mate and still mnajikombeleza namna hii....
You niggas are disgrace with this kind of thinking
TetetehSafi sana ,na mimi nilipokuwa mtoto nilipenda sana kupiga picha vitu ila baada ya kukua nimeacha.
Na vipi kuhusu sisi wa masaki there there [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaruhusiwa kuBRAG na kutuma mipicha au itaonekana hata ukiishi MASAKI hewa ni ile ile, wote tutakufa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mno Best.
Ndiwoooo ndiwoooo[emoji23][emoji23][emoji1]Naona ndio yule ndugu yetu list eti
Mi nimepasuka mbavuu[emoji23][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mno Best.
Umeanza na wewe[emoji23][emoji23][emoji1]Hakuna kama wasukuma tunaongoza nchi sasaa[emoji1531][emoji28]
Mkuu
Ni weak people mentally ndio wapo hivo....
Wanajiona wamezaliwa kwenye jamii zao kama ni aibu vile na ni bahati mbaya..
Ni watu wa hovyo sana...na infact sio watu wa kutegemewa.....ni master worshippers
They feel ashamed kua watu wa jamii fulani..ni very very sad
Wanatakiwa waambiwe kweli,wajipe self esteem wawe watu wenye confidence wapende jamii zao zilizowazaa
Ni ajabu sana kuna mtu humu anasema eti wao kwao ili afanikiwe maisha yake sio tena elimu au ujuzi au kufanya kazi na biashara kwa ujuzi bali eti ni kwa "kuoa" au "kuolewa" na Wachagga!
Yaani hii ni hatari sana,maana maisha yao yameshikwa na hizi ndoa,yaani akipewa divorce anakufa au kuokota makopo
So shameful aisee...nimeshangaa mno!
AiseeeHakuna kama wasukuma tunaongoza nchi sasaa[emoji1531][emoji28]
The best thing is to add you in my ignore list
Ndiwoooo ndiwoooo[emoji23][emoji23][emoji1]