Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Haaaaahaaaaahaaaaa

Haaahaaaahaaaa

[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1][emoji1]

Yaan njoeni mnikande mbavu zangu jamani aaaaagh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nacheka huku naogopa.. si unajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha hamna hana nomaa
Nimeona kamgeuga jamaa hajaamini.. kwamba kuna Wanaume na kuna wanaume - wanawake waliochangamka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siyo ya kucheka haya Witty.
 
Nimeona kamgeuga jamaa hajaamini.. kwamba kuna Wanaume na kuna wanaume - wanawake waliochangamka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siyo ya kucheka haya Witty.
Haaahaa[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona Mwanamke aliyechangamka[emoji1][emoji23][emoji23]
 
20201224_184203.jpg
 
Wengine wana fukwe ndefu kuliko.. Wengine wana mito na bahari.. Wengine wana mbuga za wanyama.. Wengine wana ardhi maelfu kwa maelfu ya ekari… wengine wana visiwa vya karafuu… wengine wana vito na wese ardhini… surely mlima Kilimanjaro si kitu si lolote linapokuja suala la maendeleo
Ni kweli tupu
 
Unafeli sana mzee, wachaga wanaenda kwenye viwanda sasa hivi, consultancy services n.k hawa deal na retail businesses tena, hawa ni wasomi, sijui kama unajua bond and stocks, cryptocurrency and the like...jidanganyeni hapo kariakoo sogea pwani angalia wamiliki wa viwanda, they are taking over kwa waturuki n.k
Mmmmh, una wa over rate mnooo!
By the way, maeneo mengi hapa nchini kwa sasa hayapishani sana. Tuchukue mfano kuanzia Mafinga, Makambako hadi Njombe(ingawa kwa sasa ni mikoa miwili), kisha tuchukue Same, Mwanga, Moshi DC, Rombo na Machame/Hai, je kuna nini cha maana kinapishana?
Tuchukue Geita, Katoro hadi Sengerema kisha ufananishe na Moshi, tofauti ya kibiashara na uchangamfu wa miji(kwa sasa, naweza kusema ni HAKUNA, zamani wakati watu wapo gizani sawa)
 
Kuna watu wananuna! Aliyekutangulia katutangulia tu usipokubali hiyo tunaita Wivu!
Siyo kweli. Mchina alitanguliwa na watu kibao wa Europe, wote kawapita.
Ni suala la muda tu. Hivi unafaham Mji wa Tanga, umewahi kuwa mji mkubwa na superpower kwa Tz kuweza kuipiku DSM, na je leo hali ikoje?
 
Aaagh yamezidi bana twin[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwamba ni matakataka ama!? Kwani umelazimishwa kusoma? Njoo nikupe liteni ukamunue sumu unywe tu mana sio kwa chuki hiyo
 
Back
Top Bottom