Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

Huoni wamevaa nguo na wana nguvu ya kutembea inamaana walikula chakula kinachowapa nguvu hizo.


Anaye vaa "nguo" na mwenye nguvu ya kutembea ni lazima awe analipwa ujira??!🀣
 
waliwatengeneza pia waarabu weusi wengi kweli, hao kina Faiza fox wanaosumbua jf. hao huwaambii kitu, yupo tayari kumtumikia mwarabu kwa chochote alimradi tu anakula chapati na kalumati,


🀣🀣 Nimuite Faizafoxy aje kujibu hizi tuhuma??
 
Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
Malizia hana viatu na anatembea km za kutosha kwa miguu.angalia hao waarabu wana viatu na baiskeli
 
yule wa oman aliyewaharibu watoto wenu aliishia wapi? au naye alikuwa mbantu?
 
We vutu! Hebu acha uqummer! Nimeweka wazi kuwa nilimaanisha madhila yaliyokuwa yanasemekana wanayapata Wazanzibari! Acha habari zako za kisegeju!!
Ww acha kutetea hao watu hujui mababu zetu walichopitia kwao..
Mapinduzi na yaheshimiwe.
 

mkuu unahisi tatizo linatokana na nini hasa?
 
Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
Na akiwa peku.
 

Yaani hao waarabu njaa hapo ndio unawaona mamilionea . Waswahili wengi mbona walikuwa matajiri kuliko hao waarabu wanaopigiwa propaganda chafu na CCM.

Hao waliokuwa wanajiweza kiuchumi ni wahamiaji walikuja na vijipesa vyao na kuanzisha biashara . Waafrika wengi roho zao ni mbaya na choyo kingi na wamejaa ubaguzi ni hatari. Na ndio tukapata laana hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…