Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Mzee hata ugali dagaa zenye Nazi zilizochanganywa na Bamia na Nyanya chungu huzikumbuki?Kwa mda niliokaa USA sidhani kama niliwahi kukumbuka chakula cha Tanzania, labda kama huna hela.